Hakikisha unakadi ya benki ambayo ya visa, pili jiunge na paypal ili kulipia kupitia paypal maana ni safe zaidi kuliko kutumia kadi moja kwa moja kufanya malipo. Kwenye malipo utatakiwa kuingiza kard namba na hao jamaa watafanya muamala. Karibu.Habari wadau,
Akaunti yangu ya Gmail imejaa na nataka kuongeza plan kwa kuilipia ili niendelee kupata huduma, tatizo ni kuwa njia za kulipia wanaonesha nilipe kwa VISA tatizo ni kuwa sina uzoefu na huduma za VISA. naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu juu ya hili ili niweze kufanikisha kulipia.
Asanteni
Hakikisha unakadi ya benki ambayo ya visa, pili jiunge na paypal ili kulipia kupitia paypal maana ni safe zaidi kuliko kutumia kadi moja kwa moja kufanya malipo. Kwenye malipo utatakiwa kuingiza kard namba na hao jamaa watafanya muamala. Karibu.
Vizuri, kujiunga paypal ingia kwenye mtandao(google) tafuta paypal fungua website yao tafuta sehemu ya sign up for payment services.Asante sana kwa maelezo yako mazuri, hiyo huduma ya Paypal inapatikana wapi na ni lazma uwe na vitu gani hasa ili uweze kufanikisha malipo? samahani nauliza maswali mengi lengo ni kuelewa na kufanikisha lengo langu la kulipia.
Asante.
Vizuri, kujiunga paypal ingia kwenye mtandao(google) tafuta paypal fungua website yao tafuta sehemu ya sign up for payment services.
Ila hakikisha na kadi yako ya visa ipo mkononi.Vizuri, kujiunga paypal ingia kwenye mtandao(google) tafuta paypal fungua website yao tafuta sehemu ya sign up for payment services.
Ooh! Naona maisha yanazidi kuwa mepesi kweli.huwezi kuzifuta hizo email zilizojaa?
kama wanataka visa paypal haina haja hapo nenda bancABC ipo kkoo mtaa wa msimbazi kama unaenda Fire kanunue kadi ya visa 5,000 tu bila kufingua acount jaza hela kwa kutumia tigo pesa au mpesa halafu fanya manunuzi
15GB zimejaa?? umeweka nini humo mkuu? nakushauri udelete mail ambazo sio za muhimu uache za muhimu. mwenyewe nina miaka 12 sasa natumia gmail lakini sijafikisha hata 3GB
Really??? Nimeipenda hiihuwezi kuzifuta hizo email zilizojaa?
kama wanataka visa paypal haina haja hapo nenda bancABC ipo kkoo mtaa wa msimbazi kama unaenda Fire kanunue kadi ya visa 5,000 tu bila kufingua acount jaza hela kwa kutumia tigo pesa au mpesa halafu fanya manunuzi
huwezi kuzifuta hizo email zilizojaa?
kama wanataka visa paypal haina haja hapo nenda bancABC ipo kkoo mtaa wa msimbazi kama unaenda Fire kanunue kadi ya visa 5,000 tu bila kufingua acount jaza hela kwa kutumia tigo pesa au mpesa halafu fanya manunuzi
Asante kaka, ni bancABC peke yake tu au pia kuna benki zingne? nauliza hivi kwa sababu nipo mkoani ambako hakuna hilo tawi la bancABC.
bankABC nimeitumia, ila pia nimewahi kusikia Akiba wana huduma kama hii unapewa visa card bila kufungua acount. ngoja watakuja member wengine kuzitaja kama zipoAsante kaka, ni bancABC peke yake tu au pia kuna benki zingne? nauliza hivi kwa sababu nipo mkoani ambako hakuna hilo tawi la bancABC.
Kwa sasa wanafanya kwa tsh 15'000, badala ya kiwango cha awali cha 5'000.huwezi kuzifuta hizo email zilizojaa?
kama wanataka visa paypal haina haja hapo nenda bancABC ipo kkoo mtaa wa msimbazi kama unaenda Fire kanunue kadi ya visa 5,000 tu bila kufingua acount jaza hela kwa kutumia tigo pesa au mpesa halafu fanya manunuzi
Nimeipenda hii aisee.. I gotta go for it..Kwa sasa wanafanya kwa tsh 15'000, badala ya kiwango cha awali cha 5'000.
itagata , uzuli wa bankABC utaweza anza kuitumia kadi yako ndani ya dk.30 baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu. Na kuweka kiasi unachotaka kutumia.
na ya dola ni dola ngapi? maana kama sasa zinalingana hakuna haja kuwa na ya shilingi ambayo inapanda na kushuka kila mudaKwa sasa wanafanya kwa tsh 15'000, badala ya kiwango cha awali cha 5'000.
itagata , uzuli wa bankABC utaweza anza kuitumia kadi yako ndani ya dk.30 baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu. Na kuweka kiasi unachotaka kutumia.
na ya dola ni dola ngapi? maana kama sasa zinalingana hakuna haja kuwa na ya shilingi ambayo inapanda na kushuka kila muda
kama hairuhusu mobile pesa imekosa maana, ila still 15,000 sio mbaya.
Card #1: Ni ya dola - Nilinunua kwa usd 20. Sina hakika kama bei yake imebadilika au imebakia bei ya awali, Sikuuliza pindi na re_new card ya TSH.
Card #2: Nilinunua kwa tsh 5'000 - imeisha muda wake tangu feb. 2016.
Card #3: Nimeichukua january mwaka huu. Waliniuzia kwa tsh 15'000
NB: Kadi ya dola huwa siitumii, Sababu ni lazima ufike kwenye tawi lolote la BankABC ili ufanye Top Up. Huwezi kutumia mobile service. System yao hairuhusu kufanya top up kwa njia ya simu.
Wakati kwa kadi ya TSH waweza fanya top up kwa kutumia Tigo pesa na mpesa - Hivyo hii imekua huduma rafiki kwangu.
Wanakata yote. Hakuna salio wanalo rudisha.kama hairuhusu mobile pesa imekosa maana, ila still 15,000 sio mbaya.
hio 15,000 wanakata yote au kuna salio wanakurudishia kwenye kadi?