Nyleptha
Member
- Jun 19, 2012
- 69
- 47
Wadau naombeni mnisaidie jinsi gani naweza kujua kiasi cha mafao niliyochangia ktk mfuko wa hifadhi ya jamii PPF, kupitia SIMU YA MKONONI au INTERNET. Niliwahi kuona mahali kuna namba ya kutuma message then unapata jibu papo hapo ila sikufanikiwa kuirecord hiyo namba, anayeifahamu aniambie, hii ni kwa sababu sina muda wa kutosha kwenda kufuatilia huko ofisini kwao.
NB: KAMA KUNA MFANYAKAZI WA PPF niPM basi unisaidie ukiwa huko ofisini kwako!!!
NB: KAMA KUNA MFANYAKAZI WA PPF niPM basi unisaidie ukiwa huko ofisini kwako!!!