Msaada:jinsi ya kujua mafao PPF

Nyleptha

Member
Jun 19, 2012
69
47
Wadau naombeni mnisaidie jinsi gani naweza kujua kiasi cha mafao niliyochangia ktk mfuko wa hifadhi ya jamii PPF, kupitia SIMU YA MKONONI au INTERNET. Niliwahi kuona mahali kuna namba ya kutuma message then unapata jibu papo hapo ila sikufanikiwa kuirecord hiyo namba, anayeifahamu aniambie, hii ni kwa sababu sina muda wa kutosha kwenda kufuatilia huko ofisini kwao.

NB: KAMA KUNA MFANYAKAZI WA PPF niPM basi unisaidie ukiwa huko ofisini kwako!!!
 
Ooh una bahat mbaya ndo natoka ofcn,ila kesho kma vp ntakuelekeza weka namba zako hapa nku2mie kwa sms,out of that u can go thea wakuprintie statement ako tangu ulivojiunga
 
Asante sana Makaura, ila siwezi weka namba hapa nakutumia kwa PM.

Ooh una bahat mbaya ndo natoka ofcn,ila kesho kma vp ntakuelekeza weka namba zako hapa nku2mie kwa sms,out of that u can go thea wakuprintie statement ako tangu ulivojiunga
 
Back
Top Bottom