Acha kukariri wazee kama Samwel Sitta na Kingunge wana busara gani?
Process zinachosha sana. Hadi ufunge ndoa hamu yote imekatika.
ukisema mzee jumuisha wale wenye busara za maongezi ili waweze kuwekana sawa hzo familia familia mbili maana ni kuunganisha undugu mkuu hao kina sitta wapo tu hata mtaani ukiona hana busara unaachana naye tu
Acha kukariri wazee kama Samwel Sitta na Kingunge wana busara gani?
meamini duniani hakuna jambo rahisi kufanya
inategemea na mila za kwao.
mi niliambiwa niende mimi bila mtu mwingine wakanione kwanza.
umeandaa mamilioni lakini?
maana wanawake wa siku hizi wanajidai kupinga mahari na ukienda kwao unatolewa hela ya kutosha kununua noah kabisa.
Ua ndo nini? mambo ya kizamani kweli.andaa wazee uwatume wakajitambulishe wao kuwa kijana wao kaona ua hapo kwao, then ikishakubalika ndipo watakubaliana uje wakufahamu sio kujitambulisha kiwnyeji, hela kidogo ya wazee wataoenda huko uandae
Mkuu si unajua hawa watoto wa kukuna nao mjini, wengi hao mila hawazijui inabidi mwanaume kama kweli umezamilia inabidi upambane mwenyewe
Kiswahili kigumu ingawa ni lugha ya taifa nimazamilia huu si ujinga kwa mini usiandike nimedhamiria pumbavu
Kuna mchangiaji alisema uwatafute wazee wa Kabila la binti unayetaka kumposa watakupa utaratibu ambao ni mzuri na utajua ishu inatakiwa iende vipi
Tafuta kwanza kujua taratibu zao, makabila mengine ni complicated mbaya unaeza unaenda mwenyew na mshenga wako wakadai ni dharau...wakakutolea nje.
#step one
Fahamu kwanza taratibu za Kabila Lao.
#step two.
Tekeleza utakachoelekezwa na wazee au watu wengine wa Kabila lao Ndo uende kufanya utambulisho
#step three
Anza na step one Ndo uje step two.