Msaada: Jinsi ya kujitambulisha ukweni

Msaada: Jinsi ya kujitambulisha ukweni

Kweli inategemea na kabila unapoenda kuoa. Baba yangu mkubwa alienda kutoa taarifa bukoba kuwa kaka ndo alimuoa bint yao waliwa chuo ili taratibu zingine zifate, neno la kwanza tu walimwambia apige magoti ! weeeeee baba mkubwa alivo kichaa alitoka ndan nduki bila kuaga alipofika home moto uliwaka. Kaka alilia kama mtoto.

Hadi wa leo hajawai kwenda ukwen, kaka mahali alitoa mwenyewe.

Kweli hapa shuguli ipo namuomba mungu yasinitokee hayo
 
Back
Top Bottom