Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Habari wanajamii.
Nimenunua dish la zuku na kwenda kufunga kijijini kwetu kutokana na maelezo niliyopatiwa na wakalaila bado cjafanikiwa leo nipo mjini nimeambiwa maelezo hayakua sahihi na jamaa yangu kwani wakala aliniambia nielekeze dish WEST wakati linatakiwa kuwa EAST pembeni kushoto kidogo na dish kubwa za kawaida (fta) na KU waya uingilie kulia au kushoto tofauti na wakala alisema waya upitie chini kama dstv na KU aliyonipa ni twin universal akaniambia nifunge namba 1 kwa namba moja kwenye decoder na kama nikitumia namba 2 bac kote iwe hivyo.
Naomba msaada kwani cjarudi kijijini bado na kule hamna ntwk naomba maelekezo sahihi nisisumbuke tena.
Chaneli zilishawekwa tayari na alishauri nisearch kwa kutumia citizen tv.
Pia nikiingia kwenye manual installation strength na quality ziko 50% ila kwa rangi ya kijivu cjui kama kuna tatizo ama lah.
Msaada wenu pls.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums