libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,477
- 3,641
anza kwa kubonyeza home bila kuachia halafu bonyeza kile cha kuwasha/kuzimia simu
![]()
Je vp Sony Xperia?
anza kwa kubonyeza home bila kuachia halafu bonyeza kile cha kuwasha/kuzimia simu
![]()
Umejarib hiyo njia mkuu
nimejaribu imegoma
laptop hp pro book unapataje screenshots
Kwa simu nying za Android bonyeza POWER BUTTON and BUTTON ya kupunguzia volume pamoja(AT THE SAME TIME)
thanks kiongozi, nimeweza