Sikiliza, Mimi mwenyewe hapa nimashaapply sua tar 22, wakati ule walikuwa wanatuma username na passwordkwenye e-mail then wanakutumia number ya malipo. Then wanakwambia ulipie then log in .Nilifanya hivyo nikaapply BVM chaaap. But now wanatuma username na password kwa text ila hawatumi number ya malipo kwahiyo ile waliyokutumia inakuwa inactive coz hujailipia kuiunlock. Ila kama ikiendelea hivyo sio kwamba hautapangiwa sua ,utachaguliwa ila watakupangia faculty wenyewe kama masela zangu walivyofanyiwa mwaka Jana, walipangiwa animal science.