Passpp
Member
- Apr 1, 2025
- 86
- 243
Naomba Ushauri na Msaada wa Mawazo
Wakuu, nimeamua kuandika hapa kwa unyenyekevu kabisa. Kuna changamoto ninayopitia kwa sasa na nimeona ni bora kushirikisha wenzangu kuliko kukaa nayo kimya.
Sihitaji lazima pesa; kama kuna mtu anaweza kunisaidia kwa ushauri, connection ya kazi, fursa yoyote halali au msaada wa aina nyingine, nitashukuru sana.
Kwa wale wanaoweza kunielekeza au kunishauri, niko tayari kusikiliza. 🙏