Field Marshal
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 414
- 280
Habari zenu wakuu.
Naomba msaada kwa walio na ujuzi au uzoefu katika kampuni za ujenzi, binafsi nataka kufungua kampuni ya ujenzi ya class seven ila sijui naanzia wapi na natakiwa nifanye nini.
Hatua niliyoanza nimeenda CRB wakaniuzia kitabu chenye maelezo kuhusu kampuni za ujenzi na class zake ila wakaniambia niende kwanza Brela nikimalizana nao ndo niende kwao.
OMBI: Naomba mtu mwenye mfano wa memorandum inayohusiana na building company, pia na msaada wa muongozo wakufanikisha hili suala la kufungua kampuni.Kwa msaada wa documents zozote naomba nitumiwe humu.
Email:kachasomndolwa@gmail.com
=========
Jinsi ya Kusajili Kampuni ya Ujenzi (Building and Civil Contractor)