Thank you. Nilidhani option hii ingekuja na file kama attachment. Nashukuru sana mkuu. Na inakuwaje kama nataka ku-insert image directly kwenye post?, i.e. I mean hiyo image ionekane moja kwa moja kwenye post bila kufungua attachment?, kama wanavyo fanya kwenye jamii photo?Si unaclick attach then unaselect picha yenyewe kisha una submit.
Si unaclick attach then unaselect picha yenyewe kisha una submit.
Poa sana mkuu, nashukuru kwamba tuko pa1. Hebu tupeni mwongozo wakuu..
Ngoja tuwaachie wataalamu watupe vitu. Wakuu your assistance please...mimi kila napojaribu huwa inakataa,,,na hii pia imekataa,,,sijui tatizo nini,nikishaclick UPLOAD,then inanambia close window,napoclose hunambia
'BAJABIRI U DON HAVE PERMISSION TO ACCESS,sijui nini na nii,aaaargh
Ngoja tuwaachie wataalamu watupe vitu. Wakuu your assistance please...
Mimi hiyo icon ya attachment inaonekana tu kwenye kureply na haionekani ninapopost post yangu mwenyewe. Hapo inakuaje?
Hebu Jaribuni ku-upload picha kwa kubonyeza pale kwenye attachment halafu tafuta Picha kwenye simu yako then Upload, ikishamaliza usi-close window. We bonyeza BACK mpaka Pale SUBMIT halafu u-click hiyo SUBMIT.. JARIBU HII PLEASE IT WORKS
ku upload kutoka kwenye cm,ts pocble ila kuiweka pic hapo ni shughuli maana inabdi udrag hiyo pic kwenye timeline sasa kwenye 4ne cidhan kama hicho ki2 kinawezekana,but pic za mtandaoni mzka sana 2 kama hivi. Any1 interested?
Ehe. Mbona Mi nikitaka kupost Thread Mpya inaonekana.....
nami huko huko ndo kunantatizamimi nazungumzia post sio thread mpya!
so ku-upload from my fone haiwezekani?????[b/]