Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Allien, Feb 17, 2011.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Jinsi ya Ku-Cheat Bila Kushikwa

  Tahadhari:

  Haishauriwi Kucheat kwa kuwa kuna madhara makubwa na ni dhambi kubwa. Hata hivyo information hizi ni zile ambazo zinatumiwa na Professional Cheaters ambao si rahisi kuwakamata kwani wako makini sana.

  Ukikamatwa lolote linaweza kukupata mfano kupigwa, kuuwawa, kuachwa, kufedheheshwa n.k. If you do it, do at your own risk

  Je unataka kujua ni vipi Um-Cheat mwenzi (Mke/Mume) wako bila kushikwa? Kama unataka sexual pleasures nje ya ndoa yako au relation yako na kuifanya iwe siri nzito usiwe na wasiwasi. Ili uweze Kumcheat mwenzi wako bila kubambwa inakubidi ufuate dondoo zifuatazo:

  1. Mchukulie Mwenzi Mke/Mume wako kama ulivyokuwa unamchukulia kaba ya Affair. Ni lazima umwonyeshe tabia zile zile bila mabadiliko.

  2. Wasiliana na Mpenzi wako unaye Cheat naye Kimada unapokuwa Nje ya Nyumbani. Mawasiliano yasifanyike home ila uwapo Ofisini, Bar, Restaurant nk. Usitumie namba ya simu ambayo Mwenzi Mume/Mke wako anaifahamu kila unapoweza. Usitumie emails au online chat kwa kuwa mwenzi wako kama makini atakukamata tu.

  3. Usimwambie Mtu yeyote juu ya affair yako. Mpaka unaingia kaburini don’t tell anyone. There is no Secret shared. Hakuna mtu atajua unless ameambiwa.

  4. Hakikisha unaandaa hadithi nzuri au excuses ambazo zinafanana na ukweli na usishau hata kimoja. One mistake, one goal.

  5. Hakikisha hana details za pesa zote unazotumia katika Affair au Cheating. Kwa hiyo pesa ya Hotel, dinner, etc zitoe katika source ambayo haifahamu. Na usiweke receipt hata siku moja. Ukiipata tu, iharibu na kuitupa.

  6. Oga kabla hujaenda nyumbani mara tu baada ya kumaliza affair yenu. Hakikisha harufu ya “Mchezo wenu”, lipstick, nywele na perfume zote zinadhinitiwa na kuwekwa sawa kabla hamjatoka eneo la tukio.

  7. Hakikisha mpenzi wako anajua kuwa Una Mke/Mume au GF/BF unless kama ilikuwa ni one-night stand lakini naye pia anaweza kukufuatilia kwenye Facebook kitu ambacho ni hatari kwani anaweza akapost chochote na mambo yakaharibika.

  8. Don’t fall in love. Kama unatafuta LOVE kweli na si Affair, then the rule is Get a divorce first. Usichanganye Excitement ya LUST na LOVE. Kumtafutia Mpenzi/Kimada wako maua au kumchukua dinner mara kwa mara ni njia rahisi ya kushikwa.

  9. Usijifanye Guilty. Kama umeamua kula tamu, basi vile vile tambua kuwa huo ni msalaba wako hadi kaburini. If it was about Sex affair basi uko Ok, lakini kama umempenda then kuna shida. Usikubali kuvunja uhusiano mzuri na Mke/Mume wako. Usikubali kufeel guilt kiasi kitakachokufedhehesha na kuleta hisia zitakazomkesesha raha Mume/Mke wako. Guilt/pain zako is your problem. Deal nazo. Kuwa na roho ya paka.

  10. Kila wakati wa Affair tumia protection au vaa kondom. Hakuna kitu kibaya kama kuzaa nje ya ndoa au kupata magonjwa ya kuambukiza kasha ukampelekea Mke/Mume wako. Kama ikibidi fanya Full Medical check up na Kimada wako na ifanyike several times. And pull out wakati wa kumaliza.

  11. Kuwa na email ID ya siri na kila wakati futa history katika computer yako. Usiache laptop ukiwa umelog in.

  12. Kama ni lazima kutumia simu yako, usitumie maneno ya hisia ya mapenzi mfano “Nimekumiss sana”; “It was so sweet” nk. Badala yake tumia coded language mfano; “Nimekumiss sana = Network hakuna” au “It was so Sweet = Chakula Kilikuwa Kitamu” nk. Kuwa mbunifu.

  13. Futa SMS na Voice Mails zote na Calls Log zote. Ukiacha zikikutwa ndiyo Kiama chako.

  14. Mfurahishe Mwenzi Mume/Mke wako na Mwonyeshe Mapenzi. Assume wewe ndiyo peke yako unamcheat mwenzi wako. Fikiria kumwonyesha mapenzi. Kila unapocheat mfanyie kitu kizuri, mletee maua, mnunulie zawadi, mtoe out, mpe romance ya kutosha nk. Usiwe mjinga kuomba msamaha na kupeleka maua na kilio baada ya kubambwa. Fanya hivyo kabla.

  15. Nenda Nje ya Mji Kucheat au Centre of a very Busy Place ambapo yeyote akikuona hatakuhisi vibaya. Usiende “Viwanja” au sehemu zinazojulikana za maraha maana unaweza kuonekana.

  16. Affairs za Ofisinini ziko poa zaidi. Raha yake kila mtu anajua wote ni wafanyakazi na si rahisi kushtukiwa. Mnakula Tunda huku mnakausha tu. Shida ni pale mapenzi yakizidi halafu mkakorofishana na moja akawa bored. So, play it cool.

  17. Tegemea Kunaswa siku moja. Kama ndiyo kamchezo kako kuwa una multiple partners, basi uwe tayari siku ukibambwa kuelezea uongo wako unaofanana na ukweli. Lakini kuwa tayari kuface matokeo yake. Cheating is a game. Sometimes you win, other times you lose, but that’s part of what makes it so exciting.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Naona umekuja kinyume na thread yako ya jana, kiasi kwamba hueleweki hasa unasimamia wapi!

  Mi ningekushauri ubadili heading isomeke...JINSI YA LULETA UKIMWI KWENYE FAMILIA YAKO!
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mkuu darasa hili...jana ilikua utajuaje unayempenda anakucheat...leo technique za kucheat...chonde chonde mkuu wengine tukijifunza kitu ni must tuaply na kuacha mbinde
   
 4. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  JP hukufuatilia mada. Baada ya hii itakuja:

  1. Jinsi ya Kupata Ushahidi wa Ku-Cheat

  2. Jinsi ya Kuacha Ku-Cheat

  3. Jinsi ya Kumfanya Mwenzo Aache Kucheat

  Stay tuned.
   
 5. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tahadahri imetolewa.

  lengo ni kutoa somo mbinu zote zijulikane.

  Tutakapoongelea sasa jinsi ya kupata ushahidi au kuacha, kila mtu anakuwa na back ground.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Aksante.
  Nikiangalia hiyo avatar yako, nahisi ni wewe halisi...Sasa kwa mtu wa aina yako kucheat haipendezi kabisa!...you look too much a gentleman!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Allien...
  Hii topic ya kucheat hii........,,.
   
 8. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  I am 100%. But not my photo.

  Have been involved in Private Intelligence on these matters for years kiasi kwamba inasikitisha. So, through these series mambo yote hadharani yataelewaka.

  Huwezi kutoa lesson ya jinsi ya kupata ushahidi wa mtu anyecheat kama hujui ni mbinu gani wanatumia.

  Kuwa na amani.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Jamani tukumbuke mapenzi hayajaribishwi.
  Usiende kacheat maana ukinogewa huko......
   
 10. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  Sema Mkuu . . . . msije mkanipiga mawe . . .
   
 11. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  Tahadhari imeshatolewa. LOL
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nadhani kuliwahi kua na thread ya hivi!Inakwenda kwa jina la Rules of Infidelity!Itafute!
   
 13. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  Inawezekana: Hii imejikita zaidi katika facts wanazotumia Professionals. Can u give a link?
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  sijui nikuweke kundi gani?kwa hali hiyo,inaonyesha relationship yako maana hata sijui niiweke vipi?jee huishi kimachale machale?maana nahisi kama kwenye relationship yako,kila kitu kwako ni suspicious.ingawa kama hiyo ni picha yako halisi,unaonyesha ni mtu na heshima zako au kama ni bosi fulani hivi
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Walizoandika ndo hao hao maprofesheno!Ningekutafutia sema niko via mobile itakua kazi sana!Ila ngoja nijaribu!
   
 16. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mkuu, fuatilia post zangu na series zangu kwa makini sana, utagundua kuwa you have a good lesson to learn tutakapoanza kujadili juu jinsi ya kupata ushahidi wa kumkamata cheater. Stay positive. Afterall tahadhari imetolewa.
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
 18. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Duh,yawezekana nina proffessional cheater nini?????
  ladies,kazi tunayo.......l.o.l
  asante mkuu sasa nikiona umakini wa mwanaume,namfuatilia kiinteligensia zaidi.......kazi kweli kweli!!!
   
 19. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mh! Haya ila czan kama itakuwa na umuhmu na wakat mke unae mana ni ukofu wa adabu
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Jamani kila kizuri kina upande wake wa pili wa ubaya wake kwa hiyo sio vibaya kujua na hii inaweza kukusaidia kumjua mtu uliye nae ni wa aina gani. unaweza ukaona mtu yuko so perfect kwa kila kitu kumbe anakucheat mbaya. mimi ninajua mtu anacheat mbaya, ila linapokuja swala la mkewe huwez amin, kiasi tukikaa na huyo mwanamke tukimpa story tunayotendewa anasemaga "im so lucky my hubby is so perfect" unamwangalia unacheka sababu wakati mwingine unaona bora awe happy kwa anavyofikiria kuliko kumwambia halafu uwe chanzo cha matatizo
   
Loading...