Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
Habari zenu wanaJF,
Naomba kujua jinsi gani naweza kuona all the devices zinazotumia wireless yangu ya nyumbani na jinsi ya kuweza kucontrol wireless ili kama kuna any device ambayo inatumia network yangu na mimi siijui then niweze kublock isipate kutumia hii wireless pamoja na kuweza kumonitor bandwidth katika devices zangu..
Pia, kama mtu anajua jinsi ya kuweza kutumia wireless ya mtu hata kama inapassword naomba anipe soma..nahisi nikiweza kujua jinsi mtu anavyoweza kutumia wireless yangu hata ingawa nimeweka password ndefu na strong basi naweza jua jinsi ya kumkamata au kumzuia asitumie.
What i'm asking ni kuelimishwa.
Natanguliza shukrani...