Msaada: jina zuri kati ya haya

Nimemind aisee kuona mtoto wa kiume anaenda kuitwa majina ya kindezi hayo, hata kama ni majina ya kiingereza mbona yapo yanayo sound ki masculine zaidi, etii lucious daah
Wazazi wa kidijitali utawaweza wewe

Ulimbukeni wa usasa na fashion za kiduanzi

Huku kwenye kabila lao hawana majina mazuri ?
 
Af sorry....

mbona wazaz wengi sana wanawaita watt wao Jaden


Muite Prince.... hayo majina ya Jaden yamekua mengi sana sijui nyuma yake kuna nn
Hehe wengi walilifahamu baada ya kuangalia The Karate Kid movie aliyoigiza Jaden Smith mtoto wa Will Smith enzi hizo akiwa cute boy, basi ndiyo wazazi wengi wakakwamia hapo.
 
KWANINI UTUMIE MAJINA YA KIZUNGU [emoji654] acha fikra za kitumwa
Mwite hata jina majani tanayokuzunguka au wadudu au hata mpe majina ya mboga za majani.....
Yes amuuite Nguniani(Majani ya maharage)
 
miss chuga, yuko wapi miss chaga nmemmiss kinooma kapotea jukwaani et!!
 
Jaydan ni zuri zaidi....(kwangu mimi)
Hilo jina limekuwa kama Toyota IST! Kila mtoto aliezaliwa ndani ya miaka hii mitano anaitwa jaden!

Hivi hamnaga majina mengine mpaka mtoto apewe jina la kihanisi la mtoto ***** wa will smith?
 
Basi litafaa [emoji2][emoji847]

sikuaga najua maana akee ila nikisikiaga hilo jina basi nareflect yule Jaden wa will smith[emoji1][emoji1]

nikajua mayb ndo their rolimodo
Mtoto ***** yule
 
Jina mtoto muiteni Denzel ama Leslie, hilo jina la kichoko achaneni nalo! Fuxin Jayden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…