Msaada: JF application

Msaada: JF application

Joined
Sep 27, 2014
Posts
27
Reaction score
2
Habari wakuu,
Naombeni msaada wenu wana JF wenzangu
Nashindwa kuweka posts kwa kutumia JF app katika simu yangu, naombeni mnipe njia ya kuweka posts kupitia app ya jf
 
kama android: fungua jf app. fungua jukwaa unalolitaka. nenda post new topic iko kwa juu. andika title ya topic yako. andika content ya topic yako. click post hiyo chini.
 
Back
Top Bottom