Msaada jamani! Yamenifika

Msaada jamani! Yamenifika

Pole mkuu, wapo wengi sana hao usipojitizama utaishia kubolesha kwake tu we ukabaki mtupu. Kwakuwa ushahonga sana nenda kamdonoe afu tupilia mbali kule mblock kabisa. Saw a mkuu...........
 
Pole mkuu, wapo wengi sana hao usipojitizama utaishia kubolesha kwake tu we ukabaki mtupu. Kwakuwa ushahonga sana nenda kamdonoe afu tupilia mbali kule mblock kabisa. Saw a mkuu...........

Huu mm ndo naona ushauri wa maana kwa vile tayari umesha invest. Tena kamdonoe kweli kweli kusudi akuweke kwenye kumbukumbu zake. kumbuka kuleta mlisho nyuma hapa hapa!
 
Acha uzoba wewe! Utashika pembe mpaka lini? Hata kama ubgekuwa unakamua bado ingekuwa imekula kwako sembuse mshika pembe
 
Huu mm ndo naona ushauri wa maana kwa vile tayari umesha invest. Tena kamdonoe kweli kweli kusudi akuweke kwenye kumbukumbu zake. kumbuka kuleta mlisho nyuma hapa hapa!

mkuu omurwanga....MLISHONYUMA ni tafsiri sisisi ya neno la kiingereza; kiswahili kina neno zuri sana MREJESHO
 
nawasalnana mmu,

mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa mmu na nimepata kujifunza mambo mengi sana lakini kuna jambo limenitokea naombeni ushauri wenu.

Kwa sasa ninaishi dar nimetokea kumpenda mdada mmoja yuko shinyanga (ndiko anakoishi), kwa sasa yapata miezi saba tokea tujuane (tulikutana shinyanga nilienda kusalimia ndugu); mimi ninafanya kazi kwenye kampuni ya ujenzi (temporary) na huyu dada anayo saloon ya kike hapo shinyanga mjini.

Tatizo langu linakuja kwenye suala la pesa; kwani kila mara nikipokea simu yake baada ya kujuliana hali anaomba pesa mara shampuu na mafuta mengine zimeisha za saloon mara nimtumie pesa za matumizi mara wateja wamepungua sana anadaiwa kodi la nyuma (saloon).

Yote hayo yaweza kua sahihi lakini linapokuja suala la mafuta na shampuu huwa nashindwa kuelewa make haviwezi kuisha bila kuingiza pesa kwani zinatumika kwa wateja, pili kwa nini anapiga simu akiwa na shida la pesa tu? Yungali tuko wachumba?

Mimi nilishamweleza hali halisi ya kipato changu na msaada ambayo twaweza kusaidiana, lakini niliona kama hajaelewa make alikua akipiga simu analalamika mithili ya mtu anaelia kitu ambacho sipendezwinayo. Kutokana na hiyo hali nilipanga safari adi shinyanga wiki mbili zilizopita wala sikuona hali mbaya sana kwenye saloon yake, kurudi dar baada ya wiki moja ameanza tena mara anataka kuleta mfanyakazi anejua kusuka vizuri kwa hiyo nimsaidie kulipa mara amepata chuo uku dar kuna kozi anataka kuja kusoma nimchangie,,jamani!

Naombeni ushahuri huyu mdada anayo nia nzuri na mahusiano yetu? Au anataka kula pesa na kusepa?
Muhimu: Sijawai kufanya nae mapenzi

mpwa mimba hiyo siyo kabisa njoo
 
Achana nae mara moja alivyokula vinatosha ukiendelea baada ya kusoma comment hii itakula kwako kijana
 
Watu wengine sijui mna mapepo ya ukiziwi na ukipofu. Wadada wa saluni asilimia tisini ni vicheche. Kama umekosa mchumba dar achana na habari za kuoa
 
Sa Shinyanga ulienda kufanya nini?!! au ulikua kwenye siku zako!!
 
ukiona manyoya ya. kanga ujue kanga kakaangwa!

kimbia mkuu huyo ni jini mnywa damu atakunyonya damu yote ufe kibudu!
 
Sa Shinyanga ulienda kufanya nini?!! au ulikua kwenye siku zako!!

Shinyanga nilienda ili tuongelee mambo yetu ki undani na ndo hayo yanaendelea tena, naona alibadili system ya kuomba pesa make saloon nilishuudia tena shampoon imejaa
 
Sijaona tofauti kati ya wadada wa saloon na machangudoa.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom