Ujitahidi uwe serious na future ya familia yako ukifanikiwa ni rahisi sana kujifunza kumpenda mwanamke af baadae unafolo deeply kinoma!
mkuu, hapo kwenye RED, hivi hilo huwa linawezekana? kwamba mtu hujampenda at first place/sight, yaani hajakuvutia kimapenzi. Then eti uanze ''kujifunza'' kumpenda, then una-fall deeply in love. Huwa siamini hii aisee.