Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Mimi ni baunsa lakini kumbuka Shoka likipigwa kwenye msuri halidundi!!
Jaman wadau naombeni msaada wenu wa hali na mali, kuna ndugu yangu m1 ana kiwanja chake maeneo ya tegeta sasa kuna mtu amevamia akajenga kwenye hcho kiwanja hvvyo anaomba msaada wa mabunsa ili wakabomoe hyo nyumba haraka iwezekanavyo kwa sababu ye anataka kujenga ya kwake........... kwa hyo kama humu kuna mabaunsa naomba tuwasiliane ili tukamsaidie........... nawasilisha ombi langu..:help:
Si tunaenda wote ua wewe unabaki?
Chapa mijeredi, we si mkoloni bwana
mi ntakuwa na udhuru hvyo ctaweza kwenda kwa hyo itabidi muende halafu tutaonana mkirudi.........
Mimi ni baunsa lakini kumbuka Shoka likipigwa kwenye msuri halidundi!!
Mkoloni mimi nilidhani tunaenda wote, sasa ni hivi mimi takuwa mwenge mkifika mtaniambia nyie tangulieni msiondoke mpaka mimi nije, mpaka saa kumi mkiona siji mjue naumwa nyie muendelee tu
Kawa chukue jkt wako kibao
Nipo ndani ya Daladala ipo 'nyomi' ila umenifanya nilipuke kwa kicheko! Nenda mwenyewe na familia yako. Mali ni yako na familia yako. Sivyo?
tusaidiane jamani wandugu.JF members ni wanafamilia wenzangu so nahtaj msaada wenu.