Msaada jamani urgently | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani urgently

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by DAVIES, Jan 14, 2012.

 1. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kuna rafiki yangu aliacha kazi serikalini tangu mwezi wa 5 huko kigoma ni clinical officer afya sasa akaja dar kufanya kazi kule wakafunga mshahara ila kafanya application upya na kapata mbeya je haita leta madhara atakapoenda kuripoti japo mimi nilimwambia asubiri kwanza hebu wanajamvi wenye uelewa wowote hapa ili nimwambie akaripoti au asiende na kigoma hayupo tayari kurudi hata kwa dawa ushauri tafadhali
   
 2. k

  kasinge JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  The same applies to me, hata mimi niliacha somewhere wakasimamisha saraly, ajira mpya za walimu najua napangwa na naenda kuanza na moja. Asiogope kule anaenda kuanza na 1.
   
Loading...