Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

Mkuu, kwa nini aliacha kuvaa hizo shanga kwa miezi sita huku akijua huwa zinakupagawisha wewe mumewe?
 
Ila watu mna moyo! Mtu unawezaje kujieleza masuala yako ya ndani/chumbani kwa ulimwengu mzima? Hata kama tunatumia majina bandia na hatufahamiani physically mambo mengine naona ni aibu kuyaanika kiasi hiki. Ona sasa kila mtu anakupa tafsiri yake badala ya kusaidiwa unazidishiwa pressure!

hayo ndo mawazo chanya na hasi, hapo anapata free or idea!!! Ila maada hii imekuwa nzuri maana nimecheka sana
 
Acheni hizo banaaaa!
ndandawamalenja what if hakuridhika na game la awali na hayo ni mazingira ya kudemand round two?

Kwa nini mwawaza negative tu???? kwa sababu zipi???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Muache aende,akirudi demand mchezo kama vile haijatokea asubuhi,akishindwa kazi utakuwa umepata majibu!Tumia nylon bro.
 
Mbona wake za watu wanamegwa hivi siku hizi? Ni nini hiki

Haha haaaaa ... Hata nlikuwa sijajua lol. Kumbe kuvaa shanga na kunyoa v..i ni kumegwa !

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huwi ndoa yaani huwa nafika mbalisana wanawake wanawake yaani huwa nashindwa kuelewa akili zao pengine naweza kuwafananisha na mvua ambayo inaweza kunyesha hata kwenye kinyesi haijalishi sehemu gani bali watimize tamaa zao ni kinyaa
 
Kwa kifupi, huyo si muaminifu na inabidi ufanye uchunguzi wa haraka sana coz asije akakuletea Ukimwi ndani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wajameni huku sio kurushana roho ni kutoana roho? mmmmmmmh kama ndo mambo za kichen part ? sijui mtatuua wana wa wenzenu:sleepy::sleepy:
 
kwa hiyo iliishaje hadi leo? ila huenda alitaka kuku-suprise ila umefanya haraka, give us the feedback, ulihisi kitu chochote kibaya kimefanyika?

Yaani kilichotokea ni sooo! Nilikomaa naye mpaka jioni. Usiku nikaisimamia ile mbaya nae akatoa ushirikiano wa kutosha. Lakini alivyoona nafanyia sifa (actually alichubuka kimtindo) akaomba half-time. Game ilipoisha nikamuuliza kwa nini alifanya vile asubuhi (kunyoa na shanga) akaniambia alikuwa anataka tuendelee alishindwa kuniambia.
Basi maisha yanaendelea, but nimepata adhabu kwa sababu bado ana maumivu ya juzi hatuja-do tena mpaka leo. Ila naendelea na uchunguzi.
 
pole sana, endelea kuwa naye karibu na mchunguze, ila be extra careful isije ikasababisha ndoa kukosa amani kwa kutoaminiana, huenda hakuwa na nia mbaya na huenda kuna kitu, so take ease and be careful.

All the best
 
Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??

hhahahahaahah, Alikuwa anataka umsindikize dukani, inaonyesha huwa humsindikizi , kwa hiyo akaamua kuangalia ni kitu gani unakipenda ndiyo maana akaamua kukufanyia hivyo.

LAKINI kwa nn mkeo ajishave mwenyewe na ingali wewe upo? mshave na yeye akushave, hayo ndiyo mapendo kaka
 
Bora ujichekee mwaya stress za nini? JF unapata kila kitu. Ukitaka pressure unapata ukitaka kucheka unacheka pia.

hivi mwaJ msiri wangu nani kakuficha husomeki kabisaaaa?:shut-mouth:
 
Last edited by a moderator:
hivi mwaJ msiri wangu nani kakuficha husomeki kabisaaaa?:shut-mouth:

Sisomeki kwanini Kaizer? Usilete visingizio vyako msiri wangu! Mbona juzi nimekutafuta sana hukutokea? Mpaka nikamtuma na Erickb52 anisaidie kukutafuta akashindwa tukaishia kutoelewana na maneno yake ya kinoko.
 
Last edited by a moderator:
Sisomeki kwanini Kaizer? Usilete visingizio vyako msiri wangu! Mbona juzi nimekutafuta sana hukutokea? Mpaka nikamtuma na Erickb52 anisaidie kukutafuta akashindwa tukaishia kutoelewana na maneno yake ya kinoko.

hebu mipemo kalinki msiri wangu mwaJ jamani.......wapi apo nikapaone, manake juzi ilikuwa lindo zamu yangu (sijui niache jeshi?)
 
Last edited by a moderator:
Bro umeibiwa na huo mchezo haujaanza leo zipo siku nyingine ambazo wewe ulikua bize kutafuta mkate wa hapo nyumbaini kwako alifanya hivyo yaani ni baha leo haujaenda kokote anajiapnga umestukia jitahidi kuweka mtego utamkamata mwizi wako mwache awe huru atoke then fatilia nyendo zake utapata jibu...
 
Back
Top Bottom