Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

kuna dalili mke wa jamaa alikuwa na miadi ya kwenda kumegwa na jamaa leo maana hayo maandalizi yanajieleza. pili kama kweli alikuwa anampima mmewe kwa nini awe mpole na aghaili kwenda kariakoo?
 
Dah pole ndugu! Ndo maana nimesubiri kariakoo sijaona akija! Halafu nilimwambia anyoe kwakua ile juzi alikua na magugu mno! LOL( in a kiding mode)

USHAURI
Mulika mwizi mali yako yaliwa

gobore umenichekesha sana!kumbe ulikuwa ushatega gobore lako ulipue mtu!haaa haaaa haaaa(me too in a kiding mode)
 
Yaani wewe una maudhi jamani! Mwenzio kakupa cha kukuamsha, afu kakuandalia menu kwa ustadi na kuhakikisha chachandu ipo kleta njaa. Unaanza kujizubaisha na kujiulizisha maswali! Why kama chachandu inakupagawisha usifanye kweli! Picha pia hujui kuisoma, kha!
 
hii story inaumaaaaa!ngoja nijiondokee zangu!wengine mabox yao yanafunguliwa na wengine,wengine wanafungua wao kisha yanafungwa upya na kwenda kufunguliwa tena!vululuvululu!
 
kuna dalili mke wa jamaa alikuwa na miadi ya kwenda kumegwa na jamaa leo maana hayo maandalizi yanajieleza. pili kama kweli alikuwa anampima mmewe kwa nini awe mpole na aghaili kwenda kariakoo?

Wala! Kawa mpole kwa sababu hajapewa haki yake. Na si ajabu hakuwa na safari ya kkoo! Mi ukiniona naoga ukaniuliza unafanya nini mke wangu ntakujibu nalima, kama kiutani hivi. Sasa kama alikuwa na miadi na mtu, angeshindwa kuenda na mumewe kkoo na wakanunua few stuff za dukani? Kwani nyie wanaume wa humu, mkishakuwa na ahadi gesti na mtu afu wife akabana si mnabadili route tu?
 
hahahahaha!!!! mambo ya boxing day. lol. komaaa nae asitoe mguu huyo.
 
Kaka inawezekana inatumka kwingine lakini vuta subra, tulia jifanye uko bize na mambo yako lakini umfuatilie kwa karibu sana utakamata mwizi.
 
hahahahaha!!!! mambo ya boxing day. lol. komaaa nae asitoe mguu huyo.

Hivi mkwe ukikomaa na mtu si anaahirisha tu? Unadhani ataacha? Kujitia stress tu aisee.siku hizi na simu mtu anapokea yuko kwenye kinena cha mwingine, sauti ya chiniii 'niko kikaoni nakupigia in 30mins', anakata kabla haujajibu.
 
aaaahh mkwe utakapoweza kukaba na kubana we bana tu. usipoweza baaasss. akihairisha leo akafanya sku nyingine si utakuwa angalau umempunguzia idadi ya vidate vyake!!!
halafu shkamoo, usije ukasema mkwe hana heshma. lol
 
Natamani nikwambie ignore for the peace of ur mind ila najua huwezi. Muulize kwanini anahitaji kuvaa shanga kwenda Kariakoo?

Umenena mkuu, jamaa asitafute makubwa maana kuna kitu kimejificha nyuma, hata kama mke wake hatatimiza leo lazima atimize siku sijazo.Ndoa hizi!!!!!
 
Dah pole ndugu! Ndo maana nimesubiri kariakoo sijaona akija! Halafu nilimwambia anyoe kwakua ile juzi alikua na magugu mno! LOL( in a kiding mode)

USHAURI
Mulika mwizi mali yako yaliwa

Mkuu pamoja na kuwa umefanya utani ila nimecheka sana,siku yangu inazidi kwenda vizuri
 
Mkuu inaonekana humlizishi huyo mke wako ,hapo alikuwa anajiandaa kwenda kwa jamaa linamshugulikiaga vizuri!
 
acha uongo wa kizamani eti ukikanyaga punje za wali ulizomwaga wakati unakula unaota matende,kumbe lengo lao usimwage chakula wakati unakula!usimfariji mwenzio wakati mambo yako wazi!huyo dada angefanya yote hayo halafu akabaki nyumbani ingekuwa poa tu,lakini kataka kutoka tena peke yake,jamaa kalazimisha kutoka nae dada kanuna!halafu useme ni sawa tu?

Mkuu uko sahihi kabisa,hizi ndoa zina mambo sana
 
Back
Top Bottom