Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

Wala! Kawa mpole kwa sababu hajapewa haki yake. Na si ajabu hakuwa na safari ya kkoo! Mi ukiniona naoga ukaniuliza unafanya nini mke wangu ntakujibu nalima, kama kiutani hivi. Sasa kama alikuwa na miadi na mtu, angeshindwa kuenda na mumewe kkoo na wakanunua few stuff za dukani? Kwani nyie wanaume wa humu, mkishakuwa na ahadi gesti na mtu afu wife akabana si mnabadili route tu?
:violin:haaa..haaa..teeh..teeeh..eeeee King'asti nimecheka kwa hii comment yako!
 
Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??

kaa ukijua babujinga mali zako zinaliwa loooo
 
we nae em sugua hiyo papuchi vizuriiiii uone kama atakua na muda wa kwenda kariakoo, kama uezi basi acha marijari wakitumie afu piga kimya maana huna wa kumlaumu
 
Shusha presha mwache aende zake kariakoo ,ujue mahali anaponda chukua tax mfuatilie utagundua kwanini amevaa shanga ,hawa wake zetu wanatushushia heshima sana mjini ,unaonekana mwanaume kumbe mume ***** ..
 
hahahahaha!!!! mambo ya boxing day. lol. komaaa nae asitoe mguu huyo.
Kimsingi nimekomaa nae kishenzi acha jamaa lidindishe hukooo mpaka ikatike. Nimebadili ratiba yake kabisa, hivi tumetoka kimara kumcheki mgonjwa.
 
Kimsingi nimekomaa nae kishenzi acha jamaa lidindishe hukooo mpaka ikatike. Nimebadili ratiba yake kabisa, hivi tumetoka kimara kumcheki mgonjwa.

hihihihii umeona tekniki ya mai waifu wako ilivyofanya kazi? Mwenyewe umekaba hadi penalty
 
we nenda kamfanyie urudi hapa uanze kunisumbua ktk inbox "oh jamani mc nimekuwa mpweke naomba kampani yako" sanasana mi nitakusaidia kwa kukuambia ukanisaidie kubeba spika za mziki kupeleka ukumbini ili uwe bizebize kidogo!

hakukuwa na lolote mkealikuwa anataka atenshen tu hapa,si unaona jamaa kakaba mwenyewe....nyie dawa yenu ndogo tu..... Unavunja mipango yote ili ulinde mali zako

Kimsingi nimekomaa nae kishenzi acha jamaa lidindishe hukooo mpaka ikatike. Nimebadili ratiba yake kabisa, hivi tumetoka kimara kumcheki mgonjwa.
 
Kabla ya kukupa ushauri, naomba nikuulize, Je ni mara yake ya kwanza kufanya attempt kama hizo? yani kuomba safar za ghafla zisizo na kichwa wala miguu! Na unapomzuia safari zake huwa katika hali gani? Baada ya hapo naweza kukupa jibu la wazi kabisa. Pole sana Mkuu.

Mkuu ni mara ya pili sasa. Nakumbuka mara ya kwanza yapata miaka 2 sasa. Lakini scenario Ilikuwa tofauti. Alikuwa anaenda mkoa akaweka shanga kwenye bag, sikumuuliza mpaka aliporudi siku nne baadae akasema alisahau kuzitoa kwenye bag wakati anaondoka. Nikapotezea kimtindo.
 
hehehe!!! mme nae hata kama alikuwa na kidate chake nae kakihairisha.
ngoja nikamrushe mtu roho sasa.

Ah! Kaniharibia kishenzi, ilikuwa twende na mshikaji sehemu kumalizia Xmas lakini imebidi nichunge mzigo walau kwa leo. Kama kuliwa akaliwe siku nyingine bana!!!
 
Ah! Kaniharibia kishenzi, ilikuwa twende na mshikaji sehemu kumalizia Xmas lakini imebidi nichunge mzigo walau kwa leo. Kama kuliwa akaliwe siku nyingine bana!!!

Huyo mshikaji ni wa kike au wa kiume?
 
mkuu inamaana mamsapu wako anajinyoa ma..zi mwenyewe hlf wewe umekaa sebuleni tu?
kuwa mvumilivu na fuatilia kwa karibu ,ila hizo ni dalili za manyoya kwakweli

Nilikuwa namnyoa long time kitambo, after 10 years of marriage nikaona sio ishu sana nikaacha, manake nilikuwa kila nikmnyoa naishia kula mzigo. Namnyoa mara moja moja siku hizi.
 
Nilikuwa namnyoa long time kitambo, after 10 years of marriage nikaona sio ishu sana nikaacha, manake nilikuwa kila nikmnyoa naishia kula mzigo. Namnyoa mara moja moja siku hizi.

abiria chunga mzigo wako wajanja watakunyolea.....
 
Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??

ikiwezekana Baba kikombe kiniepuke basi si mimi bali Baba ni Mapenzi yakox2..........................................
Alivumilia mwisho wake akachokaa eloyi eloyi Mungu umeshaniacha, ninaona kiu wakampa siki anywe naona imekwisha roho naiweka kwako.............................................................................................................................

this is so ...
inaumiza sana kuona mke/mume kutembea nje ya ndoa,
inaniconfuse sana.....................
ka vipi mwambie hivyo vidumu vitamtokea puani.
 
Back
Top Bottom