Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

Hivi ratiba ya EPL leo ikoje naraka nikamnyoe mtu leo sehem sehem.......
 
Tumeaka mornie
tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu
sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta
ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi
sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena
bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA
NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi
zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia
tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote
dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??

pole kaka kuna kitu hakiko sawa hapo.
 
Hivi ratiba ya EPL leo ikoje naraka nikamnyoe mtu leo sehem sehem.......

ha ha hahahahaha! Kaizer umefanya nicheke sana. Naona umempotezea jamaa mke wake aliyekuwa anampelekea mpemba mzigo.
 
Last edited by a moderator:
pole sana kaka! akinadada zetu siku hizi wamemukuwa na akili kama za wanyama braza hawezi kuppandwa na mmjo d wawe wengi ndo aridhike! fanya subira ju ya hilo chunguza kwa makini utagundua jambo wala ucwe na haraka jama mana mwanamke yyte akishakua n bwan nje 100% utamjua so do slowly
 
wataalamu wanasema ukishave na kufanya ngono siku hiyo hiyo hataka kama utumia condon
ni rahisi sana kupata HIV.
huyo mwelimishe kama siku anataka kuonja nje asinyoe akae walau wiki
huyo sio wako peke yako
 
Kwa uzoefu wangu huyo jamaa wa Kariakoo atakua anamnyonya mkeo mashinesta mara kwa mara. Ndio maana mkeo amekuachia mivuzi wewe, then kamsafishia K mwana. Funguka kaka, vijana siku hizi wananyonya sana ile kitu. Na ile kitu huwezi Rambaaaaa kama utakutana na steel wire zile.
 
HAPO NDOA IPO UKINGONI INAKARIBIA MWISHO:confused2:
 
aise wala usimuulize chochote ila fatilia kwa karibu nyendo zake..ukitaka kumshika mwizi usiwe na haraka..mi nilifanya utafiti km miezi 4 ndio nikajua ukweli na mwenyewe alikiri..nilimpa details ambazo hakutegemea na hakuamini..

we mwache tu ajivinjari, za mwizi arobaini mbna utamshika tuu, usiwe na haraka..wala usimuonyeshe tofauti kwa sasa endelea kuchunguza..

kamusi! Hapo hapana hapaitaji subra,yaani amwache waendelee kumgegeda na uchunguzi ufuatwe? Tatizo magonjwa mkuu,hapo nikuchukua hatua maramoja!
 
Huyo hukumkongori kisawasawa ndo maana alitaka kwenda kumalizia kwa mwingine!
 
kamusi! Hapo hapana hapaitaji subra,yaani amwache waendelee kumgegeda na uchunguzi ufuatwe? Tatizo magonjwa mkuu,hapo nikuchukua hatua maramoja!

Mwanamke hachungwi; isitoshe anachoenda kukitumia ana uhuru nacho - mwanaume una share ndogo kwenye hiyo kitu ya mwanamke hivyo hivyo na mwanamke ana share ndogo kwenye mche wa mume wake!
Kama unahisi sio mstaarabu timua tu - kata mti panda mti!
 
Kwa uzoefu wangu huyo jamaa wa Kariakoo atakua anamnyonya mkeo mashinesta mara kwa mara. Ndio maana mkeo amekuachia mivuzi wewe, then kamsafishia K mwana. Funguka kaka, vijana siku hizi wananyonya sana ile kitu. Na ile kitu huwezi Rambaaaaa kama utakutana na steel wire zile.

Mwambie; inabidi na yeye ajifunze awe anamnyonya wife wake eti eh!
 
Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??
Kaka si bure, kaa karibu na simu yake akiisahau kidogo tu soma msg ila asijue. Kagua misssed, in comin and out goin calls. Add dots you gonna get more clues..! Don forget to offer her more freedom ili asijue kama unamfuatilia
 
Hahahaaaa.... Mm wife alikua amesafr alivyorudi c akaja ametupia hz ndude lol palichimbika na wkt hajawahi kutupia.
 
Mwanamke hachungwi; isitoshe anachoenda kukitumia ana uhuru nacho - mwanaume una share ndogo kwenye hiyo kitu ya mwanamke hivyo hivyo na mwanamke ana share ndogo kwenye mche wa mume wake!
Kama unahisi sio mstaarabu timua tu - kata mti panda mti!

kinachotakiwa ktk ndoa ni uaminifu na kuaminiana aisee! Ila swala la kugegedwa au kugegeda pasipo utarati its not right! Mimi nikigundua tu! Talaka sipo tayari kushere.
 
kinachotakiwa ktk ndoa ni uaminifu na kuaminiana aisee! Ila swala la kugegedwa au kugegeda pasipo utarati its not right! Mimi nikigundua tu! Talaka sipo tayari kushere.

Hata mimi nikigundua siko tayari kabisa; ndo maana najitahidi nisigundue ili life iendelee kama kawaida; na yeye pia wife ajitahidi asinigundue ili raha ya familia idumu.
 
Back
Top Bottom