Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

Kabla ya kukupa ushauri, naomba nikuulize, Je ni mara yake ya kwanza kufanya attempt kama hizo? yani kuomba safar za ghafla zisizo na kichwa wala miguu! Na unapomzuia safari zake huwa katika hali gani? Baada ya hapo naweza kukupa jibu la wazi kabisa. Pole sana Mkuu.
 
Mkuu inaonekana humlizishi huyo mke wako ,hapo alikuwa anajiandaa kwenda kwa jamaa linamshugulikiaga vizuri!

Hakuna cha kuridhishwa mkuu. Wanawake wa siku hizi huwawezi mwanaume anajitahidi kusugua mbele akidhani anamridhisha kumbe wapi wife anapeleka tigo kwa jamaa akaridhishwe. Crazy world!
 
Hakuna cha kuridhishwa mkuu. Wanawake wa siku hizi huwawezi mwanaume anajitahidi kusugua mbele akidhani anamridhisha kumbe wapi wife anapeleka tigo kwa jamaa akaridhishwe. Crazy world!
Kwa hiyo tusiotumia tigo tunaweza ku "jeopordize" our marriages!mh!hii ni hatari kubwa!
 
mie mzima my dear.....

Unadhani mke angekuwa naenda kuuza mechi angefanya huo uzembe? Kamfanyia makusudi hahahah

hehehe!!! mme nae hata kama alikuwa na kidate chake nae kakihairisha.
ngoja nikamrushe mtu roho sasa.
 
Mruhusu aende alafu na wewe nyoa vuzi na upiga perfume ya kufa mtu alafu..alafu uage na wewe

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
akinizingua namrusha tu, halafu nitakuwa namcheki anavyokaba hadi penalty, kumbe mie ndo raha yangu.....

we nenda kamfanyie urudi hapa uanze kunisumbua ktk inbox "oh jamani mc nimekuwa mpweke naomba kampani yako" sanasana mi nitakusaidia kwa kukuambia ukanisaidie kubeba spika za mziki kupeleka ukumbini ili uwe bizebize kidogo!
 
ndio maana nampigia simu anakata kumbe umemkatalia halafu umekaba.....! siyo mbaya kwa leo tukaahirisha ingawa nilishalipia chumba. naamini mpaka jioni atakuwaameshatuma hela za kunifidia kulipia rum maana haijatumika kwa ya kauzibe yak!
 
Haya mambo ya kurushana roho haya!
Kuna demu mmoja alitaka kumrusha roho jamaa ake ili kujua kama anampenda kweli, akamwambia amepata men mwingine so ameamua kuachana na jamaa! Jamaa nae kumkomoa akakusanya picha kama 6 za mademu wa hapo mtaani kwao akaweka na ya huyo demu kisha akamtumia akamwambia nnao wengi nimekusahau ebu chagua we ni yupi kati ya hizo picha nilizokutumia! demu kupata hizo picha na huo ujumbe akaenda kujinyonga!
 
Mkuu hapo mnachangia chungu cha mboga na wengine shtuka mapema.
 
Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??

Hapo ni TAYARI mkuu...na umekua ukishare na watu.
 
Umeharibu muvi, wewe kwa kuwa ulishashtuka, ungemwacha ajiandae halafu umfatilie aendajo, usingekua na maswali mengi kichwa mda huu.
Lkn ishatokea, nakushauri utulie kwanza, usikurupuke, kama kuna jambo utaligundua tu
 
kizuri kula na mwenzio.. Anakutega huyo, ndo mbinu za kitchen party za cku hizi kumuweka mwanaume sawa. Thats why kawa mpole maana amekuona umetishika kidogo
 
mkuu inamaana mamsapu wako anajinyoa ma..zi mwenyewe hlf wewe umekaa sebuleni tu?
kuwa mvumilivu na fuatilia kwa karibu ,ila hizo ni dalili za manyoya kwakweli
 
Back
Top Bottom