jarufu shaah
Member
- Sep 19, 2017
- 30
- 11
habari za mda huu naomba mwenye ujuzi wa kutoa website kutoka localhost kwenda kwenye server
Kama jamaaa hapo amekuchanganya ! Kuja nikusaidie just inbox me or check me at chrisngure2599@gmail.com kwa twentie yako tu!
No mi sina Akili kama yako ITS ALL ABOUT BUSSINESSUnataka kumuibia et
asantii1. Nakili folder zima lenye tovuti yako ya wordpress kutoka localhost kwenda online host
2. Export database ya tovuti yako kupitia phpmyadmin. Uki export unaweza fungua iyo database dump yako na ukaedit links ambazo zilikuwa zinaelekeza kwenda anwani ya localhost ziwe zinaelekeza kwenye anwani mpya utakayotumia mfano localhost/wp-content iwe anwanimpya.com/wp-content
3. Ukiwa online tengeneza database kupitia cpanel au ingine yoyote (kumbuka username na password, kisha import ile database dump yako
4. Edit wp-config.php ili taarifa ziendane na database mpya.
5. Voila, you are good to go.
Ndio inawezekana hapa ukishindwa taaaaaaaaaaratibu njooo inbox ama nicheck @ chrisngure2599@gmail.comna mm pia naomba kuuliza hv kuna uwezekano kutoa blog from blogger.com na kuipeleka word press?
we jamaa unanikata main knoma ila wacha nkuvumilie