msaada jamani mwenye ujuzi wa kutoa wordpress website kutoka kwenye local host kwenda kwenye server

1. Nakili folder zima lenye tovuti yako ya wordpress kutoka localhost kwenda online host

2. Export database ya tovuti yako kupitia phpmyadmin. Uki export unaweza fungua iyo database dump yako na ukaedit links ambazo zilikuwa zinaelekeza kwenda anwani ya localhost ziwe zinaelekeza kwenye anwani mpya utakayotumia mfano localhost/wp-content iwe anwanimpya.com/wp-content

3. Ukiwa online tengeneza database kupitia cpanel au ingine yoyote (kumbuka username na password, kisha import ile database dump yako

4. Edit wp-config.php ili taarifa ziendane na database mpya.

5. Voila, you are good to go.
 
install wordpress kwenye server mpya, futa folder la wp contents

Rudi kwenye local host
Zip folde la Wp contents
Li Upload kwenye server mpya
Li extract huko

Kwenye locahost
Edit file la wp config
-Usernames
-prefix
-database name

Ziendane na details za server mpya
Then liUpload , replace lile lililokuwepo kwenye server mpya.

Kwenye server mpya
Login kwenye cpanel, Kwenye MySql Databases ya Wordpress
Nenda kwenye table ya wp_options
Badilisha zile links weka link za website
Toa link zote za Local weka za server mpya
.,
 
1. Nakili folder zima lenye tovuti yako ya wordpress kutoka localhost kwenda online host

2. Export database ya tovuti yako kupitia phpmyadmin. Uki export unaweza fungua iyo database dump yako na ukaedit links ambazo zilikuwa zinaelekeza kwenda anwani ya localhost ziwe zinaelekeza kwenye anwani mpya utakayotumia mfano localhost/wp-content iwe anwanimpya.com/wp-content

3. Ukiwa online tengeneza database kupitia cpanel au ingine yoyote (kumbuka username na password, kisha import ile database dump yako

4. Edit wp-config.php ili taarifa ziendane na database mpya.

5. Voila, you are good to go.
asantii
 
na mm pia naomba kuuliza hv kuna uwezekano kutoa blog from blogger.com na kuipeleka word press?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom