Msaada jamani kijana anachezea uwanja wa baba!

Msaada jamani kijana anachezea uwanja wa baba!

Ha ha ha, nimecheka mbavu sina!!! Tatizo mnaacha kuoa wake wanaoendana na umri wako basi unaishia kuoa mke umri sawa au pengine mdogo kuliko kijana wako!!! Halafu pengine anavutia!!! What do you expect?? Reap what you sow!!

Halafu inapendeza zaidi pale mzee mzima anaamua kuoa binti house girl!! Halafu wanabaki wote na house boy!!! tena wa umri wake!!! Maajabu hayo!!! Ndiyo maana baadhi ya family wakifanya DNA matokeo yataleta vita kuu ya 3 ya dunia!!! Lo, ya sodoma na gomora haya!!

Duh... kuna ka ukweli kiaina... lakini ukumbuke no matter what age, mke wa baba ni mama, hiyo ni laana!!!

Likewise mtoto wa mme ni mwanao, no matter what
 
Hivi vijana wote hawa mtaani hakuwaona mpaka acheze na mwanaye? Kweli wanasema "mwana wa mwenzio sio wako".
 
mie ndo maana nipo curious kujua umri wa hawa watu 3 wahusika hapo juu....
..bht, najiandaa kutoka kwa ofisi nika-mpick mjamaa ubungo then nijue muelekeo i hope kesho mungu akipenda tukiwa hai nitakuja hapa jamvini na mambo zaidi...Kujibu swali lako kuhusu umri wa hawa watu ni kuwa jamaa yuko 47, mke wake 38 na huyo dogo ndio huyo 24. Pia huyo mdada kamzalia jamaa watoto wengine wawili ambao ni 14yrs na 10...imagine wanamwita dogo kaka au baba??? imeniudhi sana.......Jioni njema jamani....
 
Kwa hiyo hata mwanaume akitembea na mdogo au dada yake na mkewe ni kosa la jinai?

Mkuu hapo kwa mashemeji usiseme kwa baadhi ni kama house girls tu!!! Ukitizama hivi hivi utaona kuna heshima but practically, mhhhhhh!!! akina mama muwe makini sana na ndugu zenu wa kike pale inapokuja ushemeji!!! Hii ni mpaka hata wale wa kwa mama mdogo/aunties, waogope mno!!! Mwishowe watakupindua!!
 
Mie nimekwisha acha kushangaa katika jambo lolote,maana ya kushangaza yamekuwa hayahesabiki kwa sasa.

Mkuu nimeipenda hii.. tupo ukurasa mmoja
mimi pia nilisha acha kushangaa kitambo manake kila siku iendayo kwa mgungu inakuja na vijimambo vya ajabu sana nchini/duniani
 
-Sasa huyo kijana alikosa adabu sana.yaani mademu wooote kaishia kulala na mama yake mdogo?

Huyo mama nae mishipa ya aibu imekatika au?
 
Hii ni hatari kubwa haka kadunia sasa kanakokwenda lol lakini hapo mi naona ni mama ndo wa kulaumiwa nahisi yeye ndo alianza manake mtoto kumtongoza mama pana kazi kidogo? So far nahisi mamushka ndo alianza hapo
 
Huyo mama ni malaya wa mchana! Baba amsamehe mwanae, ila huyo mama aachane naye! Lazima huyo mama alimwekea vijimitego vya kimapenzi huyo kijana zikiwemo pombe mpaka dogo akajikuta kaingia mtegoni!
Yesu maria na Yoseph, Moyo mtakatifu wa Yesu.....umpe hekima huyu jamaa, kwasababu naona kama murder case ndo inafuata.

Hlo ndo la busara kutoka kwangu!!
 
Hivi vijana wote hawa mtaani hakuwaona mpaka acheze na mwanaye? Kweli wanasema "mwana wa mwenzio sio wako".
Hii mambo bana naona imeshakuwa taaaabu!
baba anatafuna binti yake, maza anapiga game la hatari na baby boy wake.

huyo jamaa afukuzie mbali wote wawili.......akifukuza mke, akioa mwingine, of which anaweza kuwa dogodog ujue dogo ndo atahamia fasta!!
 
........Dunia kweli uwanja wa fujo, yaani siku hizi mambo ni hovyo hovyo tu hadi mtu unabaki mdomo wazi.
 
Huyo mtoto atalaaniwa, unakumbuka Reubeni mtoto wa Yakobo alishawahi kuala na mke wa babayake, na hakubarikiwa kabisa kati ya watoto kumi na wawili wa israel. maumbile yake na maumbile ya baba yake yaliingia sehemu moja, ni uchafu uliopindukia. pole kwa kijana, atalaaniwa, hawezi kukipanda kitanda cha baba yake akawa sawa.

kwa huyo mwanamke, kama ananisikia humu, aombe Mungu amsameha haraka, aokoke (hata huyo kijana), aachane na uchafu huu. kama hatafanya hivyo, balaa nyingi sana zitamfuata, na atavuna matunda ya hayo anayopanda. kama hakuwa na aibu ya kuvua nguo mbele ya mtoto damu ya mume wake, akamuonyesha maumbo yake sawa na anavyomwonyeshaga mume wake, basi huyo hana hata chembe ya aibu, na hivyo ni mtu hatari sana, anawezafanya lolote. ni kitu cha ajabu hakika.

Kama haamini Mungu inakuwaje? hujui zile laana ni wale wanaojua huo ukweli?

watu wenyewe inawezekana wanafanya hawajaona , hivyo wana fanya uzinzi tu kila siku, halafu unategema laana itafanya kazi! Rudia tena laana za KiMungu haziko so easily kama usemavyo lazima kuwe na justification!

Laligeni hebu niambie huyu mama anatofautiana umri kiasi gani na mumewe na huyo mtoto wa kufikia

Nadhani hapa ndio pa kuanzia, huwezi ukamwoa binti wa miaka 25 na mtoto wako ana miaka 25 au mkubwa, hatoi shikamoo, mzee yuko bize, mama na kijana wanashinda pamoja, kuangalia TV na kugonga!, mzee na uchovu wako unashia njiani tu kwenye ile safari, mtoto anamsaidia baba kazi na mwanamke hatoki nje! kuna mambo sisi wanaume tuna initiate, nature ikikataa tunaanza kugawa laana hovyo hovyo, ukisha disturb equilibrium likely kila kitu kinakuwa wrong!
 
..bht, najiandaa kutoka kwa ofisi nika-mpick mjamaa ubungo then nijue muelekeo i hope kesho mungu akipenda tukiwa hai nitakuja hapa jamvini na mambo zaidi...Kujibu swali lako kuhusu umri wa hawa watu ni kuwa jamaa yuko 47, mke wake 38 na huyo dogo ndio huyo 24. Pia huyo mdada kamzalia jamaa watoto wengine wawili ambao ni 14yrs na 10...imagine wanamwita dogo kaka au baba??? imeniudhi sana.......Jioni njema jamani....

khaaaa huyu mama mtu mzima hivo jamani, hata umri si tofauti sna na mumewe. kwani 47 baba hajitumi vya kutosha mpaka akamuharibie mwanae??

mwambie jamaa akafungue kesi ya incest.....kazi ni je dogo atakubali mbele ya mahakama kama alizini na *****?
 
KWANZA AWASAMEHE WOTE NA BAADA YA KUSAMEHE

1. Ambane kijana kwa njia zozote zile,ili aweke kukubali kwake kwenye maandishi.
2.Baada ya kupata uthibitisho huo,aendelee kumlipia ada na kumtunza mwanae hadi atakapoanza kujitegemea.
3.Amtafutie chunba,sehemu nyingine ya kuishi na kupalipia, mtoto asikanyage nyumbani kwake (baba) tena
4. Avunje undugu na dada yake isije tokea wakatembelena maishani.
5. Aachane na huyo mwanamke haraka sana na ampe haki zake zote.Na kama ni mimi ningemwambia huyo mama achukue chochote anachotaka, hata kama nitalazimika kuanza moja kimaisha au kuwa fukara.
 
..bht, najiandaa kutoka kwa ofisi nika-mpick mjamaa ubungo then nijue muelekeo i hope kesho mungu akipenda tukiwa hai nitakuja hapa jamvini na mambo zaidi...Kujibu swali lako kuhusu umri wa hawa watu ni kuwa jamaa yuko 47, mke wake 38 na huyo dogo ndio huyo 24. Pia huyo mdada kamzalia jamaa watoto wengine wawili ambao ni 14yrs na 10...imagine wanamwita dogo kaka au baba??? imeniudhi sana.......Jioni njema jamani....

No way huyu dada ni malaya. Somehow amechagiza kumtega mtoto wake. Although na watoto wa siku hizi...com ni balaa!!

Hapa hakuna suluhu... ni vizuri kuwashirikisha wazee ili kuondoa uwezekano wa emotions kutawala. Baba akubali matokeo ni laana kuendelea kulala kitand akimoja na huyu mkewe tena; itakuwa inamuongeze ahasira siku hadi siku.

Mtoto ni wake, akubali kumsamehe maisha yaendelee. Kijana anahitaji couseling ili feelings na mama yake ziishe.

Poleni sana, ndo dunia hiyo.
 
This is abhoring. Lkn we are masters of our destinies(Mungu alikupa freewill). What do you think goes on in a child's mind akiona kwamba wazazi wake hawapo pamoja...na kwanza kakuzalia watoto 2 then you settle with another woman?. Message anayopata mtoto inakuwa tofauti na anajenga maadili mabovu...Maana ameona its fine and ok, you will always get away with it( like father or mother did...)Tuwe makini wazazi...what we do today plays a major role in future. Kawaida to assess risk and life choices inabidi tujiulize. Will it matter 10 - 30 years to come. If yes, pray to God you make the right choice.
 
AAh Theodora!

Umemwaga point tena!

It serves the father right!

Hakuna sababu ya kumgombeza mwanawe wala kumnyanyasa haya ndiiyo aliyovuna kwa kutomjali mzazi mwenzie na kukimbilia kupata ngoma changa ya kumzeesha!
 
Unategemea nini!? Wazee oeni wazee wenzenu!Ni kweli Babuyao.inaonesha kuwa jamaa ameshafikia umri wa kupiga bao moja tena la shida na kuanza kukoroma wakati mke bado anadai(damu inachemka) ndo maana kajiopolea kijana mwenye damu mbichi kama yeye.Nashauri wote watubu kwa Mola na watasamehewa lakini wasirudie.wakirudia laana itawatafuna.
 
Jamani kama nilivyoahidi jana baada ya kumpokea yule jamaa yangu toka morogoro...kwanza mnisamehe maana nilichelewa hata kurudi humu jamvini kutokana na kutingwa na vikao virefu vinavyohusiana na lile sakata...Kifupi ni kwamba kijana tulimpata jana ile ile kwa kuanzia nilimshauri jamaa kuwa ni bora tukutane sisi watatu yaani mimi, jamaa na kijana angalau tuzungumze kama wanaume kwanza then tutapima uzito wa suala zima na kuona kama kuna haja ya kuwahusisha watu wengine wa karibu...maana ni aibu ati. tulikutana pale Landmark hotel. Ni kuwa kijana amekiri wazi wazi kuwa alimmega mama yake na mbele yangu aliomba radhi kwa baba yake tena kwa machozi kabisa.

Lakini msingi wa yote ni yule mama...kuwa yule mama alikuwa na bwana na kwa bahati sijui mbaya au nzuri kijana alitokea kumfahamu huyo hawara wa mama yake na mama ili kutunza siri alimwambia kijana asimwambie baba yake kwani yeye mama yuko tayari kumpa kitu chochote atakacho!!!!....So ili kumuhakikishia hilo ndio hivyo siku ambayo mzee alikuwa safari mama akatoka na kijana wake hadi hapo bar wakapata kinywaji then dogo akafanya mambo...muonja asali haonji mara moja ikawa mazoea hadi ilipokuja kusanuka hivi juzi.

Sasa kinachoendelea hivi sasa ni kuwa jamaa kwanza amepanga kufanya DNA test ya watoto wawili aliozaa na huyo mama, pili kwa kweli hata mimi baada kutafakari sana nimemshauri amdivorce huyo dada. Na mwisho kwa kuwa kijana amekiri na maelezeo ya ziada makubwa zaidi (mama kutoka nje ya ndoa yake) nimemshauri kifanyike kikao na wazazi wa pande zote mbili kuelezea sakata lote na nia yake ya kumuacha huyo mama (kwa kweli nimemshauri kabisa kuwa asimamie msimamo wake wa kumuacha huyo mama). Kwa taarifa za hivi karibuni ni kuwa inasemekana yule mama hayuko nyumbani kule morogoro kwani aliondoka tangu jana saa 12 jioni bila kusema anakwenda wapi zaidi ya kuamuaga dada wa kazi kuwa anatoka tu. Binti wa kazi anasema alitoka akiwa na mkoba tu.......
 
Hilo linathibitisha kwamba huyo mama ni malaya na hajatulia! Pili huyo dogo alileweshwa pombe kwanza kabla hajatenda kitendo hicho kwa mara ya kwanza! Tatu, huyo dogo hata baada ya kujua kwamba mama yake wa kambo ana bwana mwingine, asingeweza kumwambia baba yake kwani baba yake asingemwamini!

Kwa hiyo mtaona jinsi ambavyo kijana alikuwa kwenye mazingira magumu na majaribu yaliyomzidi umri.
 
Back
Top Bottom