thanxUsiogope..sali kwa imani yako.
Choma moto hiyo kitu hakuna baya litakutokea.
Asante sana mkuuDuuh aisee pole sana,ngoja waje.
sawaPole,ngoja wandewa waje wakusaidie tafsiri.
Hapo chini wameandika kafala tutatoa. Anzia hapo kwanza.sawa
Ndo maana sipendi kununua nyumba ya mtu, aidha nijenge mm au ninunue ivunjwe nianze upya. Kuna mda unakaa nyumba ambayo tyr ina contract na majiniPoleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukraniView attachment 2919270
Uzi ufungiwe hpaUsiogope..sali kwa imani yako.
Choma moto hiyo kitu hakuna baya litakutokea.
Poleni na majukumu jamani, nisiwachoshe naombeni, naishi kwenye nyumba ambayo nilinunua miaka mitatu iliyopita, Sasa leo katika kufanya usafi na jembe niliona kama ndala pembeni ya ngazi za mlango
Katika kuchimba niitoe ile ndala nikaona kitu kimefungwa na kitambaa cheusi, ndani kukawa na kalatasi la nylon, ndani ya karatasi la nyloni kukawa na karatasi nyingine ya kaki yenye maandishi kama yanavosomeka hapo
Naombeni msaada najua humu hatufanani kuna watu wenye ufahamu zaidi hasa kunipa tafsiri ya maandishi ya kiarabu hapo, tafadhari nipo kwenye wakati mgumu mno, Kaka mshana popote ulipo, natanguliza shukraniView attachment 2919270Naona maneno, 'kafala tutatoa'. Nadhani hiyo yote inaashiria ushirikina na makafara kikubwa kabidhi nyumba yako kwa Mungu kwa imani yako. Vunja mazindiko na maagano yaliyonuizwa kwenye nyumba hiyo.