Msaada jamani bibi harusi anatafutwa

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Kuna mtoto wa mama yetu mdogo wa kike ndoa yake inatakiwa kufungwa jumamosi hii toka jpili siku moja baada ya send off katoweka nyumban ijuzi katuma sms yupo sweden hataki kuolewa yupo na mzungu wake wa siku nyingibwana harusi kachanganyikiwa hataki kubadili sherehe yeye na ndugu zake wananiomba nikae kama bibi harusi nifoji tukitoka hapo kila mtu na maisha yake mimi kiukweli siwezi nimekataa bado wananisumbua naombeni ushauri jamani nipo serias
 
mmh kwani we umeolewa kama bado utajitia nuksi na huenda na ww ukaanza kaufal taratibu hata kama itakuwa geresha
 
Back
Top Bottom