Amani kwenu wana jf,
Naombeni msana wa ushauri, nina mpenzi wangu tumekua katika uhusiano kwa muda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa kuja kuishi pamoja kwa siku zijazo, lakini mpenzi wangu huyo yaani mke wangu mtarajiwa ananizid umri ana 28 nami nina 27 .
Je kuna tatizo tukiishi pamoja kama familia moja.?