Msaada jamamani wana MMU

selfish ni nyie vidume mnaokuja kujiliza liza hapa navikesi vya kuboya boya....

Hujajib swali mama
So kutendwa au kuchitiwa na mwanamke tu?
Besides kujiliza hakuna uhusiani na being selfish like your statement(I some vizuri comment yako)
 
Kama huo mwaka ameongezeka jana kuamkia leo na atakuwa anaongezeka kila siku basi usimuoe maana atakuacha mbali sana,ila kama alikuzidi tangu ulipokuwa unamtongoza basi kuwa tu mkweli kuwa umemchoka!!!

besti umejuaje kama yeye ndiyo aliyetongoza na si kutongozwa?

nataka tu kupata uhakika........
 
huo mwaka mmoja ndo usababishe uje kutafuta ushauri au kuna mengineyo kwenye mtima wako
 
huo mwaka mmoja ndo usababishe uje kutafuta ushauri au kuna mengineyo kwenye mtima wako

Besides kwann hakuja kuomba ushauri kabla hajaanza kudate wala kula mzigo aje Leo ?au bibie umri umeongezeka Jana usiku?
 
aman kwenu wana jf, naomben msana wa ushaur, nna mpenz wangu tumekua katika uhusiano kwa mda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa kuja kuishi pamoja kwa siku zijazo, lakin mpenz wangu huyo yan mke wangu mtalajiwa ananizid umli ana 28 nami nina 27 . je kuna tatizo tukiishi pamoja kama familia moja.?

you need immediate divine intervention
si bure
 
aman kwenu wana jf, naomben msana wa ushaur, nna mpenz wangu tumekua katika uhusiano kwa mda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa kuja kuishi pamoja kwa siku zijazo, lakin mpenz wangu huyo yan mke wangu mtalajiwa ananizid umli ana 28 nami nina 27 . je kuna tatizo tukiishi pamoja kama familia moja.?
Umeiona imekomaa sana kuliko ya kwako au? mmhh mimtu mingine bhana!
 
Kweli watoto wa siku hizi nawaoneonea huruma sana zamani enzi za bibi zenu tulikuwa tunawao bibi zenu wametuzidi hata miaka kumi lakini hatukuwa na wasi, mimi nakumbuka mwaka 1930(elfu moja mia tisa thelathini) wakati nao mke wa tatu baada ya kuachana na ndoa mbili nyuma mbona alinizidi sana na wala sikuwa na presha.

Na katika ndoa hizo zote wote walinizidi, na mimi nawapenda sana wanawake walionizidi umri.

Kwahiyo mkuu mwaka mmoja usikutishe mbona mko sawa, wewe chukua jiko hilo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom