Msaada jamamani wana MMU

Msaada jamamani wana MMU

Kama huo mwaka ameongezeka jana kuamkia leo na atakuwa anaongezeka kila siku basi usimuoe maana atakuacha mbali sana,ila kama alikuzidi tangu ulipokuwa unamtongoza basi kuwa tu mkweli kuwa umemchoka!!!
 
Kwani kuna matatizo uliyopata ktk uhusiano na huyo dada? Mbona Mariah Carey na Nick Canon wako poa pamoja na tofauti kubwa ya umri. Wakati mwingine nasi wanaume tuwe na moyo wa huruma mtu umekaa naye muda mrefu then unatoa sababu ambayo hicho kitu ulikiona toka mwanzo.
 
Hilo hata halihusiani na uanaume wake ni upuuzi wake na ulimbukeni mbn hakuwaza upuuzo huo kabla?
Age inamsaidia nn?
 
amemzidi umli mkuu nadhani hujaelewa.

Wewe ndo hujaelewa mkuu anasema wamekaa muda mref pamoja sasa namuuliza huo muda mref waliokaa pamoja hakuliona hilo?
Au huo umri umeongezeka Jana usiku?
Ni upuuzo tu hana lolote na kutufhalilisha wanaume kama wabinafsi au tusioona thamani ya wanawake zetu
 
Hata mi naona, make malalamiko ya kianamke
ooh kutendwa, ooh kuchitiwa, ooh kutopigiwa simu yamehamia kwa vidume

Kwahyo kutendwa ,kuchitiwa ni mwanamke tu mwanaume hana hisia au ye robot?
Stop being selfish
 
Huo mwaka mmoja nao ni umri?? Tena isitoshe ni miezi tu hakuna la ajabu hapo. Na kama una yako we sema usitafute sababu
 
Wewe ndo hujaelewa mkuu anasema wamekaa muda mref pamoja sasa namuuliza huo muda mref waliokaa pamoja hakuliona hilo?
Au huo umri umeongezeka Jana usiku?
Ni upuuzo tu hana lolote na kutufhalilisha wanaume kama wabinafsi au tusioona thamani ya wanawake zetu

hahahahhahaha, nilielewa mkuu na nimeelewa. Umli
 
Back
Top Bottom