Msaada interview za Jeshi la Magereza

Mpka wa leo hata 600 hawajafika
Mkuu Kama umepata mawasiliano na mtu huko at kurutu awaambie kuna wenzangu ambao wana vigezo ila hawakubahatika kupata nafasi na walituma maombi uje utuchukue namba zetu twende zetu kozi ...
 
Mpka wa leo hata 600 hawajafika
Kuna baadhi ya watu hasa wenye majukumu ya haya mambo walitaka ingiza watu kinyemela/kimichongo ndio mana hawakutaka kuita hata interview tujazie Sababu inawezekana Kabisa sisi kufanya interview mikoani mwetu na taarifa zikatumwa kwa haraka tukawasili kuendelea na wenzetu waliokambini
 
Mkuu Kama umepata mawasiliano na mtu huko at kurutu awaambie kuna wenzangu ambao wana vigezo ila hawakubahatika kupata nafasi na walituma maombi uje utuchukue namba zetu twende zetu kozi ...
Nafasi zimekua za kimchongo san yan kuna watu waliitwa kujazilizia angali hata kweny usaili magereza hawajawah kuhudhuria yan
 
Ubinafsi wao unawaumbua wenyewe hizo nafasi zilikuwa zetu ..mungu mkubwa ata maovu haya anayaona
 
Kuna lonja nimesikia kuna Nafasi nyengine nyingi Sana zinakuja zakumwaga mara mbili au mara tatu ya zile za mwanzo
 
Back
Top Bottom