Msaada interview za Jeshi la Magereza

ila watu bado wanazidi kurupoti Hadi Leo watu wameingilia Kati kozi...kwahyo kama ulipgiwa hukupatikana au hukupokea hawarudii tena..japo kupiga simu ni kweli walipiga na bado wanapiga...
 
Cha muhim tu kuwa hakuna mtu anaetakiwa kukata tamaa as long kila mtu yupo katika kutengeneza mafanikio basi hatuna budi kupambana huku na huku na Mungu mwema atatufikisha pale tunapostahil kufika...tuzingatie kujituma, kukimbilia Fursa na kuishi na watu vzuri lakini Cha zaidi na zaidi ni kujikabidhi mikononi mwa Mungu ili kilakitu kifanyike sawasawa na mapenzi yake...Jifunze kushukuru hata ukikosa nafasi wakati huu amini utapata wakati mwingine unaofaa kwaajili yako
Umenena vyema...
 
Mi nilishakunywa maji kitambo moyo unaelea tu

Hivyo nikikosa siwezi sema sitanung'unika kuumia kidogo kama binadamu kupo ila sita give up na kama zitakujatoka tena bado nita apply yaani kikubwa mtu usikate tamaa na usiangalie upande mmoja wa shilingi tu

Tuendelee kupambana kitaani wakuu .
 
Kwa waliobahatika kuitwa ajira uhamiaji hongereni karibuni Sana Tanga . Nawapa malekezo ya kufika boma kichakamiba nafaham kuna wengi wageni hawajawahi fika .ipo hivi Mabasi yanashusha watu kange stand pale ,ukifika kange stand uliza daladala za kuja mjini au stand ya zamani ukipanda waambie wakushushe stand ya zamani nauli ni 400 , ukifika apo stand uliza daladala za nguvumali zinapaki wapi panda hizo daladala za nguvumali nauli 400 waambie wakushushe mwembe mawazo apo mwembe mawazo ndipo utapata gari za kwenda sehemu husika Kabisa uliza waambie nataka gari za boma naelekea boma kichakamiba utapelekwa ukipanda gari waambie wakushushe boma kichakamiba pia kuna gari ambazo kituo chake cha mwisho ni hapo hapo kichakamiba .nauli ni buku 3 tu ..itakuwa ushafika safari njema kwenu karibuni Sana Tanga
 
Umenena vyema...
🙏🏾Shuk
Kwa waliobahatika kuitwa ajira uhamiaji hongereni karibuni Sana Tanga . Nawapa malekezo ya kufika boma kichakamiba nafaham kuna wengi wageni hawajawahi fika .ipo hivi Mabasi yanashusha watu kange stand pale ,ukifika kange stand uliza daladala za kuja mjini au stand ya zamani ukipanda waambie wakushushe stand ya zamani nauli ni 400 , ukifika apo stand uliza daladala za nguvumali zinapaki wapi panda hizo daladala za nguvumali nauli 400 waambie wakushushe mwembe mawazo apo mwembe mawazo ndipo utapata gari za kwenda sehemu husika Kabisa uliza waambie nataka gari za boma naelekea boma kichakamiba utapelekwa ukipanda gari waambie wakushushe boma kichakamiba ..itakuwa ushafika safari njema kwenu karibuni Sana Tanga
Yah sure aise ..hiyo ndo muhim Sana
 
Ume show love saafii👏🏾
 
Vp kuna yeyot mwenye lonja kuhusu ongezeko la watu watu wengin tena kupigiwa simu iuripirt kiwira maana watu wanazid kutoroka na bado hawajatimia jana wamepokonywa simu na vyeti ili kuzuia watu kutoroka
Wanachezea ajira mtu unatoroka nafas ambayo me naitaka kwa udi na uvumba .. Magereza naombeni munipigie mimi tafadhali nitatii kila sheria yenu hata kesho kutwa nitafika kikosini kwenu mkinihitaji ..
 
Tunazitaka Sana hizo nafasi vigezo vyao mimi ninavyo vyote kama tangazo walivyotoa .. mwenye kuwasilisha ujumbe awasilishe mie nina taka hiyo Nafasi kwa moyo wa dhati bila kushinikizwa na mtu yoyote .
 
Wanachezea ajira mtu unatoroka nafas ambayo me naitaka kwa udi na uvumba .. Magereza naombeni munipigie mimi tafadhali nitatii kila sheria yenu hata kesho kutwa nitafika kikosini kwenu mkinihitaji ..
Ni kwel kuna wengin wanachzea nafas kabs...weng wao ni wale baba kanituma kwasabb tu mzaz anacheo bas anaamua kumtengnzea mtot mazingr mazur hali ya kwamb mtot hajapnd kutok moyon nafas wanazib baba kanitum af weny vgzo watot wa wakulima wanabak kitaa kwa kukosa..pia kuna wengn waliotorok mwanzon inasemkn waliwah kufany usail wa TIIS wakiw makambin,,wengn walipat shavu jwtz ko wakalinganisha utamu uliko
 
Kinachowatorosha kwahyo ni shavu upande mwingine sio ukali wa mazoezi ?
 
Wanachezea ajira mtu unatoroka nafas ambayo me naitaka kwa udi na uvumba .. Magereza naombeni munipigie mimi tafadhali nitatii kila sheria yenu hata kesho kutwa nitafika kikosini kwenu mkinihitaji ..
Daah hawa jamaa hawajui kitaa kilivyo kigumu

Sema ipo siku tutaotea tu na sisi inaweza ikawa hayahaya majeshi au isiwe haya majeshi tofauti na hata tunavyofikiria
 
Back
Top Bottom