Msaada: Installation ya Drivers.

king kan

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,629
2,043
Wadau ,
Computer yangu aina ya Dell Insipiron mini 1018 niliinunua ikiwa installed windows7 starter (version ya 2010) baadae nilimuazima jamaa mmoja lakini baada ya kuirudisha ikawa ina inamatatizo katika starup (ilikuwa inawaka lakini haiwezi kustartup mpaka mwisho) hivyo nikaiformat nikainstall windows vista bussiness lakini tatizo likawa haiwezi kuconnect internet by anymeans, baadae nikainstall windows xp service pack 2 ya 2002 hapo ndo kabisa na volume ikawa tatizo. Nimeweka Joli OS inapiga kazi kama kawa japo documents kama word au excel au libra office siwezi kuzisoma (naweza kusoma html na pdf formats basi) . Sasa nahitaji msaada wa device gani na link ambayo naweza kutumia kusolve tatizo hilo au nitumie window operating system gani ?
 
Kama system requirement inaruhusu ku run Windows 7 bora uweke hiyo na iwapo tatizo la drivers litajitokeza tena
Download hapa..http://uppit.com/sojn08i9lwbm/driver_genius.rar. ukiextract na kufungua hiyo software itakujia hivi:-

View attachment 61380

UKISHAMALIZA KUINSTALL RUN HIYO PROGRAM ITAANZA KUSCAN DRIVERS ZOTE ZINAZOHITAJIKA KWA PC YAKO, IKIMALIZA CLICK SOLVE IT THEN DOWNLOAD ALL ITAANZA KUDOWNLOAD KILA DRIVERS(UPDATED DRIVERS) THEN INSTALL IT.
PIAUNAWEZA DOWNLOAD NA KUCHECK HII SINEMA ILI UJUE NAMNA YA KUINSTALL NA KUTUMIA HIYO SOFTWARE Download simb.mp4 @ UppIT
 
Baada ya kurudi zizini nilikuwa natafuta sana hii program pamoja na Drivers detective ila nilikuwa nashindwa kuipata maana zipo ki biashara.
Kijana nashukuru kwa kazi nzuri uliyoifanya kuweka hizi vitu.
 
Back
Top Bottom