Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Wamepigwa wengi kwa ile style
Moses Swai,
Moses Swai,
Ni huyu huyu, akanipa na namba ya Desmond Tutu. Alikuwa anatumia jina la Asmina Akou
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu nimekutana nae kwenye Linkedin na kujinasibu kuwa yupo Israel. Anafanya kazi kwenye kampuni ambayo huwa inafanya investment na kuprovide fund for investment.
Sasa alikuwa anataka kuja ku invest Tanzania. Akaomba ushauri maeneo amabayo anaweza kuwekeza. Nikampa ushauri na amependa kuwekeza kwenye Tanzanite.
Sasa anataka kutengeneza mkataba wangu na wake ili alirelease fund kwani nilimwambia inabidi kwanza tufungue kampuni na kufungua kampuni kuna gharama kidogo.
Sasa kinachonipa wasiwasi ni kwanini anasema anataka kurelease fund so fast. Hajaniomba account namba yangu wala hela. Info anayohitaji ndio hiyo hapo chini.
Naombeni msaada wakuu kuna info yoyote hapo inaweza msaidia kunipiga hela? Maana naogopa sana technology.
View attachment 1329888
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu ndio maana nimekuja kupata ushauri hapa. Je hizo info hapo anazozitaka zinatosha kumuibia mtu? Je akitaka account alafu nikimwambia nifungue separate account ambayo mimi nikuwa siitumii nitakuwa nimekisea? Hayo tu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hajaamini kabisa ni tapeli. Anaona kama watu wanaompa ushauri wanamzingua tu. Watu kama hawa ndiyo huwa wanalizwa. Nadhani alishafanya mahesabu kabisa akajiona yeye ni CO wa kampuni kubwa huku akikokota mdude wa nguvu kama Range Rover. Huyu nakuambia atapigwa huyu. Watu wa aina hii wanaweza kupigwa mara ya kwanza halafu wakidanganywa kuna hitilafu imetokea watume tena fedha na wakatuma. Akili yake imeshashikwa mateka na anaona fursa imejileta.Mpaka inaoneka tamaa iko mbele kuliko akili...umepewa ushauri ila bado una maamuzi yako kichwani ambayo tayari ushatahadharishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hajaamini kabisa ni tapeli. Anaona kama watu wanaompa ushauri wanamzingua tu. Watu kama hawa ndiyo huwa wanalizwa. Nadhani alishafanya mahesabu kabisa akajiona yeye ni CO wa kampuni kubwa huku akikokota mdude wa nguvu kama Range Rover. Huyu nakuambia atapigwa huyu. Watu wa aina hii wanaweza kupigwa mara ya kwanza halafu wakidanganywa kuna hitilafu imetokea watume tena fedha na wakatuma. Akili yake imeshashikwa mateka na anaona fursa imejileta.
Mwaka 2013 pia ilinitokea, alikua anaitwa Lang Tombong Tamba akajifanya baba yake kapewa kesi ya uhaini.Mi nakumbuka hii ilinitokea sijui ni uyu uyu alidai na yeye mzee wake amefariki kamuachia madolari ya kutosha..it was 2013
Wez hao..Mwaka 2013 pia ilinitokea, alikua anaitwa Lang Tombong Tamba akajifanya baba yake kapewa kesi ya uhaini.
Niliingia gharama kubwa ya international calls mwisho wa siku nikagundua kuwa ni tapeli baada ya kugoogle hilo jina.
hahahahahahIlinikuta nikiwa Chuo Mlimani mwaka wa kwanza. Binti mzuri anadai ni mtoto wa marehemu John Garang. Mshua wake kamuachia midolali anatafuta mtu kutoka nchi yenye amani ahamishie hizo pesa. Alikuwa kaahidi parcent kwenye mgao. Nilichanganyikiwa baada ya kupiga hesabu ya mgao. Nikajisemea dili likitiki naacha chuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu kubwa ni je information apo mabayo inaweza ikawa mbaya kwa upande wangu? Najua siwezi toa acc no, pesa wala info yoyote ya jwangu kuhusu pesa. Nikitoa info alizozitaka hapo juu kuna ubaya? Nataka nijue hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo utasign mkataba usioujua mzee kuwa careKuna mtu nimekutana nae kwenye Linkedin na kujinasibu kuwa yupo Israel. Anafanya kazi kwenye kampuni ambayo huwa inafanya investment na kuprovide fund for investment.
Sasa alikuwa anataka kuja ku invest Tanzania. Akaomba ushauri maeneo amabayo anaweza kuwekeza. Nikampa ushauri na amependa kuwekeza kwenye Tanzanite.
Sasa anataka kutengeneza mkataba wangu na wake ili alirelease fund kwani nilimwambia inabidi kwanza tufungue kampuni na kufungua kampuni kuna gharama kidogo.
Sasa kinachonipa wasiwasi ni kwanini anasema anataka kurelease fund so fast. Hajaniomba account namba yangu wala hela. Info anayohitaji ndio hiyo hapo chini.
Naombeni msaada wakuu kuna info yoyote hapo inaweza msaidia kunipiga hela? Maana naogopa sana technology.
View attachment 1329888
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mchezo alinifanyia mdada mmoja ansema yupo london, alinipiga biti nikaiva kweli kweli na nnavojiaminigi kuwa siezi kutapeliwa, basi ningejikuta nauza nyumba kwa millioni 100, kilichonsaidia niliomba watu ushauri basi nd akili ikashtuka hapo ila nlikuwa bata bamdaniKuna mtu nimekutana nae kwenye Linkedin na kujinasibu kuwa yupo Israel. Anafanya kazi kwenye kampuni ambayo huwa inafanya investment na kuprovide fund for investment.