Msaada Huyu Mgonjwa Mzima, Au Kafa?

Msaada Huyu Mgonjwa Mzima, Au Kafa?

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
Ukawa fever.jpg
 
Huyo bado hajafa. Lakini kifo kinamnyemelea kwa speed ya ajabu. Bahati mbaya dawa inayopshwa kumtibu kwa sasa haipatikani nchini mpaka iagizwe India (Lead time ni 3 months) na Daktari pekee nchini anayejua jinsi ya kuelekeza matumizi ya hiyo dawa ni Dr. Ulimboka. Hapo sasa!!!!!

Tiba
 
Yupo mahututi anapumua kwa msaada wa mashine maalum ila watoto na vijakazi wake washajikatia tamaa!
 
Matibabu yake kama ya dengue i.e symptomatic treatment.:wave:
 
Ooyooo huyu bado kufa na hapo kawe kwewa dawa ya nusu kapute ili aoni vipi hiyo dawa ya nusu kaputi itamsadia au itakuwa ya usaliti kama wale wa mkoa wa unguja walipo toka kwao kwa pamoja na sauti yao ni mmoja lakini walipo kuingea hospitali yaani ukumbini wakasalitiana wao kwa wao na hapo tena hiyo dawa ikawa kuxpare haikuwa na nguvu na wengeni wakambiwa wasirudi wabaki huku huku na huku siyo kwao kwa huo usaliti ni kitu cha laana tena kikubwa
 
basi apigwe sindano ya sumu kimisri misri afilie mbali
 
Magwanda nawasikitikia, hoja za siasa hakuna tena, mmebaki kuhororoja na kutukana tu.
 
Magwanda nawasikitikia, hoja za siasa hakuna tena, mmebaki kuhororoja na kutukana tu.

Kweli nyinyi Tatizo! Hivi huoni aibu! Wenzio woooote wanazungumzia Hali ya mgonjwa wewe peke yako unaleta habari za magwanda kwani tupo lugalo hapa!? Kwanini mnapenda kujifanya vichaa???????? Au ndio Homa ya ukawa imekupanda kichwani!?
 
Mgonjwa ni yule aliyeng'ang'ania tiba kutoka Pemba, tiba za kina Ulimboka zilishindwa, kaona bra ahamie Pemba.

Kwi kwi kwi teh teh teh .
 
Du! Kweli sikio la dawa halisikii Kufa. FaizaFoxy Picha ya mgonjwa anaejadiliwa umeiona lakini!? Hebu tuambie Basi Hapo ICU ni gest kaenda kupumzika, hatuzungumzii habari za pemba na ulimboka kwanza ulimboka ndio nini? Zungumzia mada iliyopo mbele yako
 
Back
Top Bottom