Msaada: Huduma ya kuingiziwa mbegu za kiume (IUI) inapatikana wapi Tanzania na kwa gharama gani

Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.
Kuna dokta mmoja anaweza kukusaidia ndani ya mwezi unapata ujauzito. Amesaidia wengi sana na hata wale wenye matatizo ya kutopata hedhi.

Ukiona inapendeza nicheck PM nikuunganishe nae mkutane akusaidie. Ni tiba za hospital.
 
No, nahitaji IUI mkuu kwasasa
 
nahisi hilo lako ni dogo zaidi kuliko la ivf nahisi watakuwa wanafanya, so google ivf dar utapta detail zao
 
Back
Top Bottom