Msaada: Huduma ya kuingiziwa mbegu za kiume (IUI) inapatikana wapi Tanzania na kwa gharama gani

Usishangae wanao kuita pm kwa sababu Avatar yako ina tafsili tofaiti kwahiyo sikunyingine usludie ivyo
1540280199610.png
1540280199610.png 1540280199610.png 1540280199610.png 1540280199610.png 1540280199610.png 1540280199610.png 1540280199610.png
 
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.

Jaribu kwenda kumwomba baba kegan akupe mwongozo yeye alimpeleka wapi mkewe huenda ukafanikiwa kama yeye.
 
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.

Nenda MSASANI PENINSULA HOSPTIAL, Ulizia DK. Shafiq lakini atahitaji historia yenu kabla kuingia kwenye IUI. Kumbuka IUI pia nikama bahati naweza sema kwakuwa inaasilimia ndogo pia. Nimefanya mwezi uliopita sijafanyikiwa bado so dk kasema inabidi kufanya mara3 mfululizo ikishindikana tuje kwenye IVF. Utapewa dawa wakati wa mzuguko wako wa hezi then ikifika siku ya 10 utaanza kupigwa utrasound kuona kama mayai/yai limepevuka, likiwa/yakiwa yamepevuka utachomwa sindano then fresh sperm zitahitajika kuwekwe kwenye mji wa Mimba, kumbuka IUI inasaidia mbegu kufika haraka but 'MBEGU HIZO ZINATAKIWA ZIWE NA UWEZO SASA WA KUTUNGISHA MIMBAAAA' NDANI YA DK 45 ZIWE ZIMETOLEWA NA TAYARI KUWEKWA KUNAKO HUSIKA IKIZIDI ZINAKUFA. Gharama ya IUI atakutajia yeye MWENYEWEEEE.
 
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.
Kama ulishawahi kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na bado hujashika mimba,basi tatizo litakua upande wako. Hata ukiwekewa lita 5 za sperm still matokeo yatakua vile vile
 
Kama ulishawahi kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na bado hujashika mimba,basi tatizo litakua upande wako. Hata ukiwekewa lita 5 za sperm still matokeo yatakua vile vile
Acha weweeeeee, yaani ni mzaha mzaha tuuuu mara nyengine qatu wanakuwa wanahitaji msaada kweli jamaaa angu, acha mzahaa weweee
 
Nliwahi soma gazet fulan liliandika Sali international hospital kule masaki mwisho wanafanya hio huduma, hata Muhimbili pia wanafanya hio huduma
 
Back
Top Bottom