Msaada Huawei p7 imepoteza network

mauro

Senior Member
Nov 28, 2011
108
34
Wadau, poleni na majukumu ya siku. Naombeni msaada jinsi ya kurudisha network kwenye simu yangu P7 huawei nimejaribu setting-search network imegoma. nili factory reset simu ndio likajitokeza hili. Asanteni
 
Kwenye setting=> more=>cellular network=> APNs, taarifa za mtandao unaotumia zimejazwa?
Otherwise, ngoja wataalamu waje.
 
Kwenye setting=> more=>cellular network=> APNs, taarifa za mtandao unaotumia zimejazwa?
Otherwise, ngoja wataalamu waje.
APN iko empty nimejaribu kuangalia kwa mtu nae ipo empty bado anapata network. nimejaribu kuweka software inasema ipo up todate pia ?
 
APN iko empty nimejaribu kuangalia kwa mtu nae ipo empty bado anapata network. nimejaribu kuweka software inasema ipo up todate pia ?
Jaribu kujaza. Mfano
Name- internet
Apn. -tigo internet
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom