nicheck pm nikusaidieWadau, naombeni msaada wa unlock codes za HUAWEI ASCEND Y530, inatumia line ya tigo pekee, inakera kweli ninapokuwa nimeenda maeneo ambayo network inazingua.
So, naombeni msaada pls.
IMEI yake ni: 8649 2102 1332 715
Toa imei yako fasta..utalia mda si mrefuWadau, naombeni msaada wa unlock codes za HUAWEI ASCEND Y530, inatumia line ya tigo pekee, inakera kweli ninapokuwa nimeenda maeneo ambayo network inazingua.
So, naombeni msaada pls.
IMEI yake ni: 8649 2102 1332 715