Msaada: HUAWEI screen Lock

Msaada: HUAWEI screen Lock

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Habari zenu wanabodi.

Huawezi imejiLock screen baada ya kukosea "pattern" mara nyingi.

NB;
Email naikumbuka ila nilizima internet...

Msaada tafadhali...

Natanguliza shukrani.
 
Njia iliyobaki Kama Internet ipo off ni ku format tu, google namna ya kufanya hivyo na solution zipo kibao, kuna combination ya key inabidi kufanya wakati wa kuwasha
 
Njia iliyobaki Kama Internet ipo off ni ku format tu, google namna ya kufanya hivyo na solution zipo kibao, kuna combination ya key inabidi kufanya wakati wa kuwasha

Asante sana mkuu..
 
Back
Top Bottom