zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Habari zenu ? Mi natumia kompyuta mpakato tajwa hapo juu.
Jana asubuh nilipokua naiwasha ilikuwa inapokea umeme na kuzima,baadae ikapokea na kuwaka ,usiku nikaizima leo asubuh naiwasha inapokea moto alafu inazima,imegoma jumla kuwaka.wataalamu mnisaidie hapo,