Msaada: HP laptop inasumbua kuwaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: HP laptop inasumbua kuwaka.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mpushi, Mar 30, 2012.

 1. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau HP dv6000 inasumbua sana wakati wa kuwaka inakua kama inataka kuwaka halafu inajizima tena.
  Wakuu naombeni msaada nini tatizo maana ikitokea imewaka nikaizima tuu matatizo hayo yanajirudia tena
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  ndugu yangu mimi sina details za ufanye nini kwa sasa ngoja wataalam waje lakini kiufupi ni kwamba HP sio kompyuta nzuri sana kwa matumizi mara nyingi zikianza usumbufu huwa ndio mwanzo wa kifo hata mimi ya kwangu nimesahizika nakushauri DELL tu ndiyo kompyuta nzuri ya uhakika
   
 3. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  asante mdau kwa ushauri, hii laptop ni matatizo hayo hayo kila siku
   
 4. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu nimejaribu kutoa battery na kuchomeka directly kwenye umeme lakini tatizo bado lipo pale pale
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona mie natumia the same brand ila yangu pavillion dv6500 ..kama upo dsm mtafute jamaa yangu m1 anaitwa ivan anaoffice yake mwenge mpelekee ni tatizo la dakika 5 unaondoka na mashine yako fastaaa..dogo ni mbaya sana kwa masuala ya maintanance za computers 0717959609 ndio namba yake.
   
 6. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo brand za dv sometime zina tatizo la heating ya VGA card . So laptop kama haijawai kufanyiwa blowing inaweza kuzidisha ukubwa wa tatizo . KWa hiyo latop inajizima ili isi over heat.

  Hatua ya kwanza tafuta Air blower uipulizie
   
 7. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu ni juzi tu nimetoka kuisafisha lakin tatizo bado liko pale pale
   
 8. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Niko morogoro, asante kwa namba nitawacliana nae
   
 9. dizzle kiraka

  dizzle kiraka JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2013
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hata yangu niloibiwa Dodoma mwezi wa nne ili kuwa na tatizo Kama Hilo Embu ipeleke kwa mtaalam Ivan mwenge aka solve tatizo
   
 10. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2013
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mimi nina HP desktop haina sauti. Icon ya volume ina cross nyekundu. Msaada.
   
 11. mimi mkali

  mimi mkali JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2013
  Joined: Dec 14, 2012
  Messages: 1,667
  Likes Received: 1,333
  Trophy Points: 280
  Itakua haina sound drivers.
   
Loading...