Msaada: How to activate 3G internet on Samsung Galaxy S4 ?

Tores

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
551
500
wandugu naombeni msaada wa kujua jinsi ya kuactivate 3G internet kwenye sim yangu mpya ya Samsung S4.nikiwa ofisini ndio naweza kuaccess internet maana hapa ofisini kwetu kuna wireless connection.....lakini nikienda nje ya ofisi yaani mitaani nashindwa kabisa kupata internet.
 

kaburungu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,412
2,000
Nenda kwenye setting kama sikosei wireless&network, then activate cellular data. Na labda nikuulize hiyo cm yako ina setting za Internet za mtandao husika? Say voda au tigo,,


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,797
2,000
wandugu naombeni msaada wa kujua jinsi ya kuactivate 3G internet kwenye sim yangu mpya ya Samsung S4.nikiwa ofisini ndio naweza kuaccess internet maana hapa ofisini kwetu kuna wireless connection.....lakini nikienda nje ya ofisi yaani mitaani nashindwa kabisa kupata internet.

nenda setting.,connectin,mobile network,apn/jaza mtandao husika. ukishindwa wapigie costomer care wa mtandao wako wakutumie configuration bila shida
 

nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,893
1,500
Kwa Nnavyoelewa. Hapo simu either huja. Activate mobile data au hakuna accesspoint kwenye simu yako. Kama vyote vipo na simu haipand 3g bas umeuziwa samsung clone... So in that case ww google how to create access point kama ipo hakikisha imekua checked then check how to activate mobile data.. Google ni msaada mzuri kuliko mm nikianza kuandika kila step hapa
 

Jephta2003

JF-Expert Member
Feb 27, 2008
5,363
2,000
Huyu atakuwa amepigwa clone fake,kwani clone za kawaida zina 3G


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,797
2,000
Kwa Nnavyoelewa. Hapo simu either huja. Activate mobile data au hakuna accesspoint kwenye simu yako. Kama vyote vipo na simu haipand 3g bas umeuziwa samsung clone... So in that case ww google how to create access point kama ipo hakikisha imekua checked then check how t activate mobile data.. Google ni msaada mzuri kuliko mm nikianza kuandika kila step hapa

mkuu huwezi kiactvate mobile data peke yake bila kujaza apn ya mtandao husika
 

jamal jack

Member
May 27, 2014
12
0
ok wasikuzungushe nenda wiles/network >mobiledata>accenspoint>alaf jaz kwen name andik internet alaf kweny apn pia andika internet iwelain yoyote ya Tanzania yani Togo.zantel.airtel.Vodacom. lazim ifanye kaz km mna bisha kwahili na tak m2 tu bishane hapa
100% work. jk.term
 

Tores

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
551
500
Jamal Jack nimekukubali......nimefanya kama ulivyoelekeza kwenye post yako na kitu kimekubali nakamata 3g vizuri mno.

Jephta2003 hajui kitu yeye anakimbilia kusema fake clone.......kama ufahamu kitu u better shut up your mouth.
 

Tores

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
551
500
Kaka hujui kitu shut up your mouth........jamaa Jeptha2003 katoa maelekezo mazuri and now im enjoying surfing via my S4.
 

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
195
ok wasikuzungushe nenda wiles/network >mobiledata>accenspoint>alaf jaz kwen name andik internet alaf kweny apn pia andika internet iwelain yoyote ya Tanzania yani Togo.zantel.airtel.Vodacom. lazim ifanye kaz km mna bisha kwahili na tak m2 tu bishane hapa
100% work. jk.term

Jamal thanks sana maana kuna jamaa yangu alikuwa anateseka sana kwa tatizo hili. Nimempa njia hii na imekubali.

Ahsante sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom