stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,884
- 27,517
35,000/-...Mkuu bei ya chini sh ngapi??
35,000/-...Mkuu bei ya chini sh ngapi??
Asante35,000/-...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kifuatacho funga PM tu dadangu [emoji1][emoji1][emoji1]
Nije tulale pamoja Mdada??Wadau kwema,
Naomba msaada, mwenye kufahamu hotel nzuri maeneo ya Mwenge au Sinza. Isiwe na kelele za Bar, Night Club au Kumbi za Harusi. Budghet yangu TZS 20,000 hadi TZS 35,000. Yaani iwe na madhari nzuri na usalama 100%.
Ebana ila manzese kuna hotel kali sana aysee,basi tu watu madharau! Ila Kuna hotel kali sanaaNenda Silver Paradise iko Manzese hutaamini utakachokiona,za Sinza nyingi zimechoka...
Kwa bei hiyo nenda Sinza Kumekucha Fine Travellers au Golden parkWadau kwema,
Naomba msaada, mwenye kufahamu hotel nzuri maeneo ya Mwenge au Sinza. Isiwe na kelele za Bar, Night Club au Kumbi za Harusi.
Budghet yangu TZS 20,000 hadi TZS 35,000. Yaani iwe na madhari nzuri na usalama 100%.
Hahahaaa, ni full huduma siyoHela yake mbuzi haitoshi Kebys landa aende Rombo green view resort pale atapata room za 40 atalala na mtoto safi kwenye AC
Mkuu mimi ndio hotel yangu nalipaga 40 kila nikija darrombo green view kama hana 80 kwenda juu bora asisogee
mara kibao mkuuUshalala pale??
Jitoe ufahamu siku moja ukalale Silver Paradise Manzese,utagundua Green View wamechelewa sana,unless kama wewe unaangalia location kutokana na mahitaji yako,na kwahiyo 40,000/- ndio utachanganyikiwa kabisa pale,lakini kwa case ya Hotel nzuri go there and feel yourself how it's going down...Mkuu mimi ndio hotel yangu nalipaga 40 kila nikija dar
Mkuu manzese wale vibaka ustaarabu utakuwepo kweliJitoe ufahamu siku moja ukalale Silver Paradise Manzese,utagundua Green View wamechelewa sana,unless kama wewe unaangalia location kutokana na mahitaji yako,lakini kwa case ya Hotel nzuri go there and feel yourself how it's going down...
Jitoe ufahamu siku moja ukalale Silver Paradise Manzese,utagundua Green View wamechelewa sana,unless kama wewe unaangalia location kutokana na mahitaji yako,lakini kwa case ya Hotel nzuri go there and feel yourself how it's going down...
Manzese unayoijua wewe ya miaka hiyo sio Manzese ya siku hizi mkuu...Mkuu manzese wale vibaka ustaarabu utakuwepo kweli
lini tena unakuja ili nije kuhakikisha ukiwepoMkuu mimi ndio hotel yangu nalipaga 40 kila nikija dar
Mkuu kuna huduma ya maji ya moto pale?Mkuu mimi ndio hotel yangu nalipaga 40 kila nikija dar
Sh ngapiOngeza dau ukalale BnB Mwenge near TRA