Msaada: Hotel nzuri Dar, maeneo Sinza au Mwenge

Msaada: Hotel nzuri Dar, maeneo Sinza au Mwenge

Wadau kwema,

Naomba msaada, mwenye kufahamu hotel nzuri maeneo ya Mwenge au Sinza. Isiwe na kelele za Bar, Night Club au Kumbi za Harusi.

Budghet yangu TZS 20,000 hadi TZS 35,000. Yaani iwe na madhari nzuri na usalama 100%.
Njoo Kibadamo Hotel. Ni patulivu sana ingawaje iko mkabala na stendi ya mabasi ya mikoani. BB 30 000/35,000.

Mimi ni mteja wao
 
Kuna moja inaitwa “Azania Hotel” ipo Sinza. Nzuri sijui Bei.
 
This is the best ........

B51C0CDC-EAE4-4CC3-95B9-3EDBAF672A3C.jpeg
 
nimelala hoteli nyingi za manzese wakina lunch time na pale rombo pia mara kadhaa. nilichokiona nyingi kati ya hizo hakuna gym wala swimming pool, Halafu huwa wanaandika BB yaani Bed and Breakfast lakini ukiamka asubuhi unaambulia kipande cha mkate kilichopakwa jam na blueband. Kama hutumii hizo vitu ndio imekula kwako. Lodge pekee ya kiwango cha kati niliolala walau wakaweka chai nzuri ni Vizano ya Mwanza Enzi hizo pamoja na kidogo Gwami pale Morogoro, Zengine zote zinafanana tu utasema zinamilikiwa na Tajiri mmoja
 
Picnic villa ipo mbele ya stand ya sim2000
room 30000, 40000 na 60000
 
Nenda mitaa ya sinza vatcan kuna lodge za 15000 [emoji23][emoji23][emoji23] na mchepuko wa kiume unapata nawale wanao taka wakike pia unapata [emoji23][emoji23]
 
Nenda mitaa ya sinza vatcan kuna lodge za 15000 [emoji23][emoji23][emoji23] na mchepuko wa kiume unapata nawale wanao taka wakike pia unapata [emoji23][emoji23]
Mchepuko wa kiume unamaanisha shoga au?
 
tutafutane tuchangie bajet kama ni mstaarabu au nitatoa yote ya 60k na mimi nimekuja leo nipo sinza mori huku kama ni Ke lakini..😀
 
Write your reply...usiumize kichwa mkuu nyuma ya ambiance kuna Gest Nyingi tuu Bei rahisi
 
Mkomilo Hotel 35,000
Naunga mkono hoja nimeshavunjia sana amri pale ni sehemu tulivu na ya ukweli sana nilipahama baada ya ule ujenzi wa barabara ya kijiweni kuelekea kwa Bi Nyau ulipoisha sijarudi tena nilipata chimbo jipya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom