Nenda kalale kagame hotel, kibadamo hotel, kwa bei hizoWadau kwema,
Naomba msaada, mwenye kufahamu hotel nzuri maeneo ya Mwenge au Sinza. Isiwe na kelele za Bar, Night Club au Kumbi za Harusi. Budghet yangu TZS 20,000 hadi TZS 35,000. Yaani iwe na madhari nzuri na usalama 100%.
Hizo zipo sinza? Au hujasoma kichwa cha habari?Nenda kalale kagame hotel, kibadamo hotel, kwa bei hizo
Hela yake mbuzi haitoshi Kebys landa aende Rombo green view resort pale atapata room za 40 atalala na mtoto safi kwenye ACKeybs hotel, usalama kama wote
rombo green view kama hana 80 kwenda juu bora asisogeeHela yake mbuzi haitoshi Kebys landa aende Rombo green view resort pale atapata room za 40 atalala na mtoto safi kwenye AC
Mimi ni mwanake mkuu[emoji119][emoji119]
Ushalala pale??Hela yake mbuzi haitoshi Kebys landa aende Rombo green view resort pale atapata room za 40 atalala na mtoto safi kwenye AC
Mkuu bei ya chini sh ngapi??Nenda Silver Paradise iko Manzese hutaamini utakachokiona,za Sinza nyingi zimechoka...