Msaada: Hivi vipele vinaniwasha sana

Msaada: Hivi vipele vinaniwasha sana

Nenda benjamin hosp au hapo agha khan au ile hospitali ya ntyuka kule. (Kuna mdau hapo juu katoa ushauri juu ya dawa pia)
 
Pia nikivaa nguo naskia natembelewa mwilini na vtu kama masisimiz yan nguo navaa tu nikiwa natoka ila nyumban na adhabu ya kukaa uchi nikivaa tu kosa Aman inatoweka nataman kufa
Hapo ndipo hasa pamenifanya nika ng'amua kwamba anataka tiba wallah....
Hahaha au umpelekee dawa nyumbani kabisa utakuwa umemsaidia sana
 
Nikivaa pia nguo naskia natembelewa na wadudu yan napata shda nikivaa nguo labda natoka ila nyumban Na adhabu ya kushnda hvyohvyo nikivaa tu nahc Nina masisimiz yananitembelea mwili mzma
Dahhh.....
Nimewaza mbali sana haki...
Ebu niambie upo Dodoma maeneo yapi nikuletee dawa aiseeeee.....
 
Lilinianza mwaka Jana mwez wa 6 cku ya kwanza nilikuwa naskia nachomwachomwa mwilini na vtu kama sindano mpak mwez wa 8 nikaanza tena kuskia natembelewa mwilini na vtu kama utitir ila ukiangalia huvion likadumu had mwez wa 12 nikaanza kuwashwa na kutokewa na vpele style ya shilling hvyo hapo kwenye pcha vmeanza kupungua mwez huu vmeanza tena kutoka vipele style mpya ambavyo ndonajkuna hapa sahv hvyo vyekundu kwenye pc
Kwa sasa tumia

- Tabs cetrizine 10mg bd x 5/7
-Apply hydrocortisone cream daytime bd and calamine lotion at night then monitor the progress ...

Hiyo kuhisi vitu vinakutembea tunaita tactile hallucination, inasababishwa na vitu vingi ikiwemo ukosefu wa vitamin B na ndio maana walikuwa wakikupa hivyo vidonge na inavyoonyesha issue sio ikosefu wa vitamin kutokana na mda uliotumia hivyo vidonge, hivyo unatakiwa kutafuta sababu nyingine ya hiyo hallucination.......Sababu nyngne ya hiyo hallucination ni:

-brain disorders such as epilepsy... -Brain tumors,
-stroke,
-infections diseases attacking the brain such as HIV,Syphilis.etc.

So while u continue with above treatment, i advice the followings:
-Repeat HIV test
-Do vdrl
-Allergic skin test
-Visit higher hospitals for Eeg,ct scan of the brain.

Lilinianza mwaka Jana mwez wa 6 cku ya kwanza nilikuwa naskia nachomwachomwa mwilini na vtu kama sindano mpak mwez wa 8 nikaanza tena kuskia natembelewa mwilini na vtu kama utitir ila ukiangalia huvion likadumu had mwez wa 12 nikaanza kuwashwa na kutokewa na vpele style ya shilling hvyo hapo kwenye pcha vmeanza kupungua mwez huu vmeanza tena kutoka vipele style mpya ambavyo ndonajkuna hapa sahv hvyo vyekundu kwenye pc
 
Kama hutojali tupe sexual history yako ndani ya mwezi au miezi miwili iliyopita, je ni protected au unprotected!

Je tofauti na vipele hakuna dalili zingine?
Ni vipele tu na muwasho cna dalili nyingne alaf HIV nmepma juz negative
 
Ni vipele tu na muwasho cna dalili nyingne alaf HIV nmepma juz negative
Alitaka kujua kama sex ulizofanya mwezi au miezi kadhaa ya karibuni ilikua ni protected or unprotected sex.....
 
Back
Top Bottom