Msaada: Hivi vipele vinaniwasha sana

Msaada: Hivi vipele vinaniwasha sana

Pamoja na kwamba unaumwa, lakini uzi wako uko vizuri na unamajibu mazuri kiasi cha kutufanya tupende kukusaidia kwa "tiba". Nadhani walioko karibu watatuwakilisha kukusaidia. Usisahau kuleta mrejesho.
Asante ntashukuru sana kwa msaada nikipona ntaleta mrejesho ucjal maana cyo kwa kuteseka huku
 
Naunga mkono hoja....[emoji12] [emoji12]
 
Asante ntashukuru sana kwa msaada nikipona ntaleta mrejesho ucjal maana cyo kwa kuteseka huku
Pole sana kwa mateso unayo yapitia mkuu.
Kwakua dawa ninayo, basi hofu ondoa na jiskie kama umepona mujarab...
 
IDEA, VIPELE VIKO VERY SIMILAR NA ACUTE HIV INFECTION
Kuna doctor wa mifupa nilimuelezea akaniambia et kuna baadhi ya mishipa inakandamizwa damu inashndwa kutembea vzur baadh ya maeneo ndomana nahc kutembelewa na kupata mapele na muwasho xaxa cjui pana ukwel hapo mtaalamu maana mwanzo nilikuwa napata maumivu ya mishipa na miguu kuwaka moto na ganzi sema sasa shda yy yuko Mwanza aliniambia niende anitibu anifanyie na masaji ya misuli ntapona ila ndo cmjui nilipewa no na mtu
 
Islets Katoa wazo Zuli katika Tiba..
Also kama HIV status yako ni negative it cud be autoimmune issues.. See dermatologist.
 
Habari zenu wana JF?
View attachment 692112

Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima sina hospital wamenipa dawa za alleji nimemaliza juzi ila hazijasaidia chochote.

Naomba msaada wenu nifanyaje au nitumie nini.

Mungu awabariki.
Vp ulipona tatizo lako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF?
View attachment 692112

Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima sina hospital wamenipa dawa za alleji nimemaliza juzi ila hazijasaidia chochote.

Naomba msaada wenu nifanyaje au nitumie nini.

Mungu awabariki.
jmn Mimi pia ninavyo ulipatje dawa?
 
jmn Mimi pia ninao ivoivo Hakuna kilichobadilika paka story vip umeshapona?
 
Back
Top Bottom